Nilaumu macho yangu Au moyo, niambieni?

Nilaumu macho yangu Au moyo, niambieni?

Na ulikuwa unabamba haswa, sometimes napita pale culture karibu na kwa "balozi" naangalia sana lile jumba halafu nabaki naskitika
tumebakisha taarabu ya vurugu na matusi.
zamani unakwenda kuangalia live performance ya taarab pembeni yako unamuona raisi na makamo wake, waziri mkuu.
ustaarabu mwanzo hadi mwisho
 
Huu wimbo kwa kweli unawafaa watu ambao wamesababisha vijana kulaumu macho yao kwa kuona.

List ni kama ifuatavyo.

Khantwe
cute b
Zuriel_cfc
Sakayo
kapeace
Hannah
Mzigua90
Zesh
Saint anne
Fragaria
Shunie
Madam vivian original
Vi rendra
ledada

Na wengine weeeeeengi.
Doh... Mzeebaba wote hao wamekusumbua!!😀

Basi huyo special ni special kweli ..I hope she knows how lucky she is that God brought you into her life ...

Ila mie sipo kwenye list hiyo jameni sijawahi sumbua mtu mie ..
 
Back
Top Bottom