Nilaumu macho yangu Au moyo, niambieni?

Nilaumu macho yangu Au moyo, niambieni?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawaza tuu jamani ungemuita nanii, ila waache wapumzike tuu
NAWAJUA mimi, tena wangekuja hapa kila mmoja angetaka yeye ndio aweee.....
 
Moyo umesalitika na sababu macho yangu
Na ninadhirika nimekiri wenzangu
Mwisho nitafedheheka kupenda kitu si changu
Ni laumu macho yangu au moyo nambieni?

Umeuliza swali jawabu nakuletea
Uwamuzi wa halali hukumu isiyo hatia
Itakuwa ni muhali kimoja kukionea
Laumu vyote viwili usilaumu kimoja

Macho yangu yamenena lawama hizi si zangu
Mie kweli nimeona hazifumba mboni zangu
Moyo subira hauna niutendeje wenzangu?
Nilaumu macho yangu au moyo nambieni?

dah huu wimbo original version aliimba marehemu maulid machaprala.
mungu amlaze pema peponi.

mimi nitalaumu viungo vyote viwili
Mkuu kumbe mambo yako haya pia???
 
Back
Top Bottom