Nikweli masister du hawapendi watu wajue kama wana watoto?

Je nikweli masister du hawapendi watu wajue kama wana watoto? kwani nimelisikia kwenye kituo kimoja cha redio nikaona niweke humu Jf ili masista du na wote mnaowajua masista du mtujuze kama kuna ukweli ndani yake

nawakilisha

mkuu wewe unawajua hao masista duu au ndio wale wale kina niniliu...:A S-coffee:
 
huwa nawaonea huruma sana maana maisha ya picha yamenishinda kwakweli
 
duh, kaaazi kweli kweli
ila ngoja nitafute definition ya sista du!

Mh. Kongasho kabla hujaishusha hiyo definition nisaidie nami langu ingawaje content yake itakua nje ya kamba hii (labda nimtangulizie advance opology muanzisha uzi) ni hivi : hapa Jf majukwaa yapo kibao lakini mimi najikuta mara nyingi nikiwa navinjari kunako majukwaa mengine akili hainipi kukaa sana huko najikuta tu hainichukua muda nisharudi MMU.
Na ndiyo jukwaa nalovinjari mno kupita mengine!.
Hebu nipe walau some hints hapa kunani ? Naweza thubutu kusema tukiyapa majukwaa u'celebritiy hili MMU litakua celebrity one ?
 
Ha haha, kuuliza swali hili ni sawasawa na kushangaa makofi polisi
au kushangaa matumizi ya mate posta, kulamba stamp

hili jukwaa ni celebrity of all celebrations
likifuatiwa na chit chat
hayo mengine labda ni ya mafungu

mie mwenyewe huwa ni mmu na chit chat tu

huko kwengine hadi ujisomeee weeeee uwe na mapoint
ntaweza wapi mie
kutwa kucha nakimbizana na mgambo wa jiji

senkiyu!
 
Mna mambo humu ndani teh teh....... nways kuhusu topic ni sooooo trueeee.
 
Tatizo ni the so called sister du kutojua hasa what defines her as a sister du...
 
Back
Top Bottom