Mkuu naomba nikukosoe kidogo. Tesla na Einstein walikuwepo wakati mmojaNikola Tesla anashindanishwa na Thomas Edison na wakina Marconi...
Huyu Einstein amekuwepo wakati wakina Tesla wameshamuwekea vianzia vingi tu.
Wakati Tesla ni babu huyu Einstein alikuwa kijana mdogo tu...
Tesla July 10, 1856----January 7, 1943
Einstein March 14, 1879----April 18, 1955
Pili hebu niambie theory hata moja ya Tesla ambayo Einstein ametumia kama foundation yake.