Nikola Tesla vs Albert Einstein: The Ether & the Birth of the New Physics

Naomba uthibitishe kuwa Tesla hakuwa binadam wa kawaida
wanasema kuwa DNA za magenius wakubwa dunia kama Sir newton, Leonardo da vinc na huyu Tesla azima match kwa asilimia 100 na wazazi wao, hasa kwa upande wa baba
kwa maana hiyo basi wanadai kwamba"aliens" walipandikiza mbegu kwa hawa watu ambao sisi tunawaita magenius na scientists na walipandikiza mbegu izo kutengeneza mahusioano flani kati yao na sisi, na hayo mausiano yanakuja kwa invetions mbalimbali za hawa magenius wetu kama makorokoro aliyoyafanya Tesla na Newton.
kwasababu hiyo hapo juu ndio kusema Tesla hakuwa binadamu wakawaida alikuwa na genes za u elien kwa kiasi flani.

i stand to be corrected
 
Tesla kanivutia sana Mungu akipenda nikipata mtoto wa pili wa kiume nitampatia jina la huyu mkali kwa heshima yake
 
Back
Top Bottom