BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,323
- 7,895
Ivi Albert Einstein si ndo alitengeneza atomic bomb au,..!?
Mkuu bas wewe utakuwa wrong somewhere...U Genius wa Einstein ni mdogo sana kufikia ule wa Tesla...Einstein amekuwa praised sana na media tangu 2005. Mara nyingine Einstein andaiwa ati kumzidi Newton? Kitu ambacho sivyo! Ukiangalia vitu alivyo raise Einstein ni theoretical base san wakati vya Tesla hapa dhnia ilipo 99% ya tech ni Tesla...yaan in short watu wanasema bila Mtoe Tesla na findings zake halafu tuish kwa theory za Einstein kitu ambacho hakiwezekani ila ukimtoa Einstein kwa findings za Tesla tunaishi. Einstein is so overrated lkn sio kama alivyo.Hapo unamzungumzia intelligent (brilliant) na Genius Albert Einstein alikuwa ni Genius huku Nikola Tesla alikuwa ni Intelligent (brilliant) leo huwezi kulinganisha hawa watu wawili kwani katika kushindanisha vitu kuna utaratibu ni lazima ufatwe ikiwamo vitu vinavyoshindanishwa ni lazima vilingane au kufanana ktk utendaji kazi au uwezo wa vitu hvyo lazima huwe ktk level sawa au moja Albert Einstein alikuwa ni mwana fizikia ( physicist) huku Nikola Tesla alikuwa ni mhandisi wa umeme (electrical engineer) so ni vitu tofauti sana kumfananisha mhandishi wa umeme na Genius utakuwa hutendi haki kwani mtu yeyote anaweza kuwa mhandishi wa umeme lakini si kila mtu anaweza kuwa Genius
issue ni kwamba kwanini Tesla alikataa alikuwa anajaribu kupinga uvumbuzi wa EinsteinHapo unamzungumzia intelligent (brilliant) na Genius Albert Einstein alikuwa ni Genius huku Nikola Tesla alikuwa ni Intelligent (brilliant) leo huwezi kulinganisha hawa watu wawili kwani katika kushindanisha vitu kuna utaratibu ni lazima ufatwe ikiwamo vitu vinavyoshindanishwa ni lazima vilingane au kufanana ktk utendaji kazi au uwezo wa vitu hvyo lazima huwe ktk level sawa au moja Albert Einstein alikuwa ni mwana fizikia ( physicist) huku Nikola Tesla alikuwa ni mhandisi wa umeme (electrical engineer) so ni vitu tofauti sana kumfananisha mhandishi wa umeme na Genius utakuwa hutendi haki kwani mtu yeyote anaweza kuwa mhandishi wa umeme lakini si kila mtu anaweza kuwa Genius pia hawa wote walikuwa wanafanya kazi na shuguli tofauti kabisa Albert Einstein alikuwa anadeal na (Matter, Energy, Time, Space, Motion, Gravity na Photons) huku Nikola Tesla alikuwa anadeal na (Technology na Science)
Hapan Einstein kipindi anaenda US alikuta tayari wanaunda Atomic bomb la kumpiga Japan. Walikuwa wanapata shida sana hasa ni kias gani kinahitajika katika bom kupiga eneo flani? Ni mass ya Nuclei kias gani inahtajk? Wanatumia njia ngumu kujua uwezo wa bomu. Lkn Einstein aliwapa simple theoretical formula kuwa E=mc^2 inaweza kupredict everything about an atomic bomb ila hakugundua bomb bali alicontribute kama hivyo tuIvi Albert Einstein si ndo alitengeneza atomic bomb au,..!?
pitia hii link utajua ni kwaanini Einstein alisema vile na sio unavyozaniaOnce Einstein asked 'how do you feel to be a smartest man in the world? he replied " i don't know may be you will have to ask Mr. Tesla."
AseeNikola Tesla and Albert Einstein were two of the greatest scientists of all time, but they often worked in opposition to each other rather than together in cooperation.
Einstein’s theory of relativity required the belief that there are no speeds faster than the speed of light, which is 186,300 miles per second, but Tesla’s scientific work disagreed with Einstein’s hypothesis. Theories have been challenged and refuted over the years, and that has certainly been the case with Einstein’s theory of relativity, but, thus far, that theory still stands among mainstream scientists. An example of a theory that was supposedly “proven” was the belief that it was impossible to fly a heavier-than -air machine, but that belief is proven wrong thousands of times every day.
Scalar waves are another interesting phenomenon. Such waves sometimes called Tesla Waves or Longitudinal Waves are capable of penetrating any solid object, and are believed to travel faster than light. This faster than light disagreement is but one of the many disagreements between Tesla and Einstein. Tesla also differed with Einstein and the quantum physicists in his view of the structure of the elementary particles and the possible consequences caused by the smashing of atoms. To Tesla, the Theory of Relativity was just “a mass of error and deceptive ideas violently opposed to the teachings of great men of science of the past and even to common sense”.
Tesla and Einstein both contributed much to society, but if they had worked together in a more cooperative manner one can only imagine what they would have accomplished. Tesla understood ether theory a lot better than Einstein did, but Tesla also did not truly understand the ramifications of Einstein’s famous equation E=mc2.
Undoubtedly, the most intriguing disagreement between Tesla and Einstein was whether or not anything can travel faster than light.
Faster Than Light! from the Tesla Universe Article Collection
Nickola Tesla’s Scalar Waves - what are Scalar Waves? | Life Energy
Martin_Hill_Ortiz
Tesla alikuwa anafanya practical zake za high power frequency yaan alikuwa akiraise an electricity about millions of voltages. Siku
Pillar ya Einstein relativity ni light...i mean Einstein anaamini hakuna kiendacho na speed kubwa zaid ya mwanga. But Tesla alikuwa anavuna umeme kutoka angani sio solar yaan free energy from the space via an antenna na gari la Tesla lilitumia antena as source of energy na sio mafuta kwani aling'oa injini ya petrol na kuweka motor (hapo utajua kwanini baada ya Tesla kufa, FBI hawa release paper na findings za Tesla jiulze..walisha zificha). Kipindi Tesla anafnya high power frequencies experiments aliclaim kudetect Rays zenye speed mara 1000 yamwanga...Leo hii utaona kuna vitu vinaitwa Tachyons hivi vinakadiriwa kuwa na speed mara 1000 ya ile ya mwanga so vina agree na Tesla...wakati mwanga ndo limit ya relativity ya Einstein. Hapa palikuwa ni moja ya disagreement btn these two men.
Tesla aliziona akiwa anaf.anya experiments bt Einstein theory ndio ulitoa limit...speed za tachyons zikiwa practically measured bas Theory za Einstein zitaenda MuseumMimi naona kama hizo Tachyons ni hpothetical or rather imaginary, kwamba Tesla ali-imagine the existence of Tachyons. Einstein ali-prove kwa theory kwamba nothing is faster than light. This is not a belief but rather, a proved theory since 1905
Mkuu bas wewe utakuwa wrong somewhere...U Genius wa Einstein ni mdogo sana kufikia ule wa Tesla...Einstein amekuwa praised sana na media tangu 2005. Mara nyingine Einstein andaiwa ati kumzidi Newton? Kitu ambacho sivyo! Ukiangalia vitu alivyo raise Einstein ni theoretical base san wakati vya Tesla hapa dhnia ilipo 99% ya tech ni Tesla...yaan in short watu wanasema bila Mtoe Tesla na findings zake halafu tuish kwa theory za Einstein kitu ambacho hakiwezekani ila ukimtoa Einstein kwa findings za Tesla tunaishi. Einstein is so overrated lkn sio kama alivyo.
Large hedron collider walijaribu kupima neutrino na haziweza kwenda more than speed of light. Huwezi pima vitu ambavyo ni theoreticalTesla aliziona akiwa anaf.anya experiments bt Einstein theory ndio ulitoa limit...speed za tachyons zikiwa practically measured bas Theory za Einstein zitaenda Museum
Angalau commendable source tu ya hizo Gossips? Maana kitu ambacho hakijawa verified experimentally ni gossips! Juzi juzi tu wamejaribu wakadhani wamedetect particles ambazo zinaenda spidi zaidi ya mwanga walipokuja kuangalia energy spectrum wakagundu kuwa iko sawa na ile ya mwanga kwa hiyo wakaomba msamaha kuwa walikosea. Sasa hizi Tachyons ziwe mpaka leo hazijawa detected na utalaamu wetu wote huu kwa kipindi hiki, na kwa Sayansi ya leo?Tesla aliziona akiwa anaf.anya experiments bt Einstein theory ndio ulitoa limit...speed za tachyons zikiwa practically measured bas Theory za Einstein zitaenda Museum
Angalau commendable source tu ya hizo Gossips? Maana kitu ambacho hakijawa verified experimentally ni gossips! Juzi juzi tu wamejaribu wakadhani wamedetect particles ambazo zinaenda spidi zaidi ya mwanga walipokuja kuangalia energy spectrum wakagundu kuwa iko sawa na ile ya mwanga kwa hiyo wakaomba msamaha kuwa walikosea. Sasa hizi Tachyons ziwe mpaka leo hazijawa detected na utalaamu wetu wote huu kwa kipindi hiki, na kwa Sayansi ya leo?
Tesla aliziona akiwa anaf.anya experiments bt Einstein theory ndio ulitoa limit...speed za tachyons zikiwa practically measured bas Theory za Einstein zitaenda Museum
Mkuu jaribu kuelewa content kwanza kabla ya ku copy na paste. Kwenye hiyo wikipedia yako wamekuambia kabisa ni ' Tachyons, particles whose speed exceeds that of light, have been hypothesized' Key word hypothetical.
Tesla aliziona akiwa anaf.anya experiments bt Einstein theory ndio ulitoa limit...speed za tachyons zikiwa practically measured bas Theory za Einstein zitaenda Museum
RightNikola Tesla anashindanishwa na Thomas Edison na wakina Marconi...
Huyu Einstein amekuwepo wakati wakina Tesla wameshamuwekea vianzia vingi tu.
Wakati Tesla ni babu huyu Einstein alikuwa kijana mdogo tu...