Niko tayari kuolewa na muislamu

Ama umetumwa kuja chokoza au una lako jambo. Weye ndo wajua ulichowasilisha?? Nifumbue macho
Mkuu hoja yako haiendani na imani ya kiisilam. Kwanza umediriki kusema mwanamke hana dini, hili umelitoa wapi? Je uisilamu ndivyo unavosema?

Pili ulijibu kwa kdhihaka, hili halipo katika Uisilam. Hivyo ni wazi kuwa hapo hukuwa sahihi.
Naishia hapo mkuu natumaini umenielewa na sikuwa na lengo baya.
 
Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.
uko teali kusoma dini mwaka mmoja kama mke wa kiislam?
 
Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.
Ulipenda kuolewa na nani inaonyesha muislam imekuwa chagua la mwisho
 
ndio maana nawapenda

Ni vizuri pia ukafanya utafiti wa sababu za uislaam kuruhusu wanaume kuruhusiwa kuoa wanawake wasio waislam na kuua wanawake wanao olewa na wasio waislam. Angalia usije ukawa ni suna.
 
~~~>>>Kwanini unasema upo tayari kuolewa na muislam??

By the way: Wanasheria huwa mnaleta harakati ndani ya ndoa.. Wakati ndoa hazihitaji harakati
 
Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.
Hahaa sema mume wako na wengine watatu...
Ila uko tayari kubadili dini?
 
Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.

Kama bado hujapata mme ni PM
Mm nipo tayari kuoa sasa na umri nime kidhi kigezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom