Niko tayari kuolewa na muislamu

ndio shida wa wa Tanzania...sijui tupoje anyway nashkuru kwa ku comment
Memez
UsilaumubWatanzania wote kwa kosa la mtu mmoja au hata wakiwa 20,000. Kumbuka Watanzaniabtuko 40-50 millioni.
Wewe na mimi tukiwamo, nina uhakika mimi siko hivyo.
Hili kosa linafanywa na watu wengi sana, inaudhi.
Nakuunga mkono kwenye kusudio lako,
 
Kama upo tayari kuolewa na Muslim Mimi nipo tayari kukuoa sababu dini yetu inaruhusu msichana kupendekeza wa kumuoa
Kwangu haijalishi hata kama utaamua kubaki ndani ya ukristo wako isipokuwa endapo nitakufa hautaweza kurithi Mali zangu japo sina Mali
Lakini hata watoto hawatakuwa na sehem ya mirathi toka kwako kama hautobadili dini
Mimi haijarishi Shep yako na sura yako si kigezo cha kukuhitaji wewe
Kigezo bora kwangu ni wewe kuwa radhi kuolewa na kuishi katika ndoa na kukubali hari zote zinazoweza kujitokeza katika uhusiano wetu..
Wewe ni muislam?kama ni muislam hairuhusiwi kufanya hicho unachokifanya!
 
Hakuna uharam wakumuoa mkristo kisheria labda mazoea tu ndio yanaonekana kuwa ni dhambi
 
Kunamwanamke sudan alitaka kunyongwa kwa kuolewa na mkristo. Alipona baada ya internation community kuweka pressure serekali ya sudani isitekeleze azabu. Huko pakistan, aflighanistan na saudi awacheleweshi kuchinja
Sasa kwani Tanzania ni Sudani? Weka relevant facts.
Mbona uzungumzii kuuawa kwa vikongwe na zeruzeru(albino), hao wanauawa na muslim?.
Acha kuwa na akili fupi, kama nya wa mwisho.
 
Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.

Hakuna Mkristo anayeweza kukiri kutaka kufungiwa nira na shetani!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom