Niko tayari kuolewa na muislamu

Mimi nakidhi vigezo kadhaa, cha umri tuu ndio noma, Kama vip fanya kuchakachua vigezo hivo am 30 years old. By the way Nina kabachelor pia, hela ya kubadilisha mboga weekend pia ipo. Ila Monday to Friday ni mboga moja tuu, lazima utakuwa unaijua.
 
Ni dhahiri hujui unachoongea. Dada yupo sahihi.

Mkuu;
Kati yangu na weye nnani hajui anachoongea? Weye ni muislam au unadandia ndinga hujui linakoelekea?? Uolewe kwanza ndo usilim au usilim kwanza ndo uolewe?? Weye kweli upo kizani pole sana. Muislam swafii huoa mwanamke swafii
 
Dada,
Kwani kuipenda dini ya kiislam uliambiwa ni lazima uolewe kwanza ndo usilimu?? Kwanza nnani kakuambia kuwa mwanamke ana dini?? Si waweza kuolewa na yeyote na bado ukajisilimisha tu?? Acha kudhalilisha dini pendwa. Hatupokei waliokwisha chakachuliwa.
Ama hujui ulichosema, ama umeghafilika au huhusiki kabisa na ulichokiwasilisha.
 
Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.
Nipo hapa mama
 

Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom