Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Nakusoma tu, nitakupasua vipande vipande, Kama hunijui..... naona unamsumbua sana my wife mtarajiwa madame BMmmhhh sijakuelewa hapo
Nakusoma tu, nitakupasua vipande vipande, Kama hunijui..... naona unamsumbua sana my wife mtarajiwa madame BMmmhhh sijakuelewa hapo
Ndo mfarijiane au!???
Sijawahi ziona hizo tuhuma hebu nijulishe zipo wapi nizisome
Stop kamerunism men.... Umeenda Kusali Baba V?
akaunti yako inasomaje nikuletee mchumba toka jukwaa la utambulisho?
Vizuri sanaaa brother... God akuzidishie mahekima na mabusara kwa kua nae karibu Kama katika weekend hiiNdo nimetoka kwa church to pay homage to sir God, sikuelewa pale juu ndo maana nikauliza
Ni sawa tu maana hakutaja jinsia
Yamekua hayo ngoja niangalie mpango mwingine
ntashukuru sana charminglady
Twende zetu out mchiziii wanguuu, hawa Madada siku izi hawafai, jail zaidi msela anaweza hata one day akakusaidiaKha huyu nae??