Niko singo, nahitaji wa kuliwazana nae.

Chilli

JF-Expert Member
Jul 17, 2011
1,656
2,000
Baada ya kunyang'anywa kipenzi changu cha moyo Madame B na mkongoman Chimbuvu na baada ya mipango ya kujaribu ku win back penzi maridhawa la Madame B kushindikana, natangaza rasmi kwamba hivi sasa niko singo kama mtoto wa kifaru.
Hivyo basi, natangaza kwamba nafasi ipo wazi kwa yeyote yule ambaye atakua interested. Mimi ni kijana sio mzee kama Asprin, uwezo wa kati. Karibuni wote mtakaojisikia, sijali uzuri wala tabia as long as zinarekebishika.
Copy to: Baba V na kamati zake zote, Chimbuvu na familia yake, Loya rutta na maloya wote, cacico, Arushaone Bishanga sweetlady na wanakamati wote wa Mahusiano.
 
Last edited by a moderator:

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,404
2,000
Mpatie pumziko mtoto wa watu ana maumivu ya mapenzi jmn atakuwa mgeni wa nani?hebu msikilize basi angalu hata nafsi yake iburudike,sema neno lolote roho yake isuuzike,ni kama njiwa yatima aliyefiwa na wazazi wake anavyojikunyata ndio hata huyu kijana Chilli hali yake ilivyo,jmn hata apointment tu mpatie ntamleta umsikilize kijana wa watu,hana nguvu,pumzi hana yote kwa ajili ya mapenzi ilhali unaweza ukamsaidia msikilize jamani Kongosho

hivi RTD hailiwazi siku hizi?
 
Last edited by a moderator:

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,404
2,000
Mpatie pumziko mtoto wa watu ana maumivu ya mapenzi jmn atakuwa mgeni wa nani?hebu msikilize basi angalu hata nafsi yake iburudike,sema neno lolote roho yake isuuzike,ni kama njiwa yatima aliyefiwa na wazazi wake anavyojikunyata ndio hata huyu kijana Chilli hali yake ilivyo,jmn hata apointment tu mpatie ntamleta umsikilize kijana wa watu,hana nguvu,pumzi hana yote kwa ajili ya mapenzi ilhali unaweza ukamsaidia msikilize jamani Kongosho,uwe na huruma jmn

hivi RTD hailiwazi siku hizi?
 
Last edited by a moderator:

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
2,000
Mpatie pumziko mtoto wa watu ana maumivu ya mapenzi jmn atakuwa mgeni wa nani?hebu msikilize basi angalu hata nafsi yake iburudike,sema neno lolote roho yake isuuzike,ni kama njiwa yatima aliyefiwa na wazazi wake anavyojikunyata ndio hata huyu kijana Chilli hali yake ilivyo,jmn hata apointment tu mpatie ntamleta umsikilize kijana wa watu,hana nguvu,pumzi hana yote kwa ajili ya mapenzi ilhali unaweza ukamsaidia msikilize jamani Kongosho

Unajifanya kukuwadia watu eeh, angalia wenye wake zao wasijekurushia vitu vinavyosadikiwa kuwa na ncha kali
 
Last edited by a moderator:

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,208
2,000
Baada ya kunyang'anywa kipenzi changu cha moyo Madame B na mkongoman Chimbuvu na baada ya mipango ya kujaribu ku win back penzi maridhawa la Madame B kushindikana, natangaza rasmi kwamba hivi sasa niko singo kama mtoto wa kifaru.
Hivyo basi, natangaza kwamba nafasi ipo wazi kwa yeyote yule ambaye atakua interested. Mimi ni kijana sio mzee kama Asprin, uwezo wa kati. Karibuni wote mtakaojisikia, sijali uzuri wala tabia as long as zinarekebishika.
Copy to: Baba V na kamati zake zote, Chimbuvu na familia yake, Loya rutta na maloya wote, cacico, Arushaone Bishanga sweetlady na wanakamati wote wa Mahusiano.

ngoja nicheck na shost angu Elizabeth Dominic make yupo singo!!!
 
Last edited by a moderator:

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,714
2,000
Baada ya kunyang'anywa kipenzi changu cha moyo Madame B na mkongoman Chimbuvu na baada ya mipango ya kujaribu ku win back penzi maridhawa la Madame B kushindikana, natangaza rasmi kwamba hivi sasa niko singo kama mtoto wa kifaru.
Hivyo basi, natangaza kwamba nafasi ipo wazi kwa yeyote yule ambaye atakua interested. Mimi ni kijana sio mzee kama Asprin, uwezo wa kati. Karibuni wote mtakaojisikia, sijali uzuri wala tabia as long as zinarekebishika.
Copy to: Baba V na kamati zake zote, Chimbuvu na familia yake, Loya rutta na maloya wote, cacico, Arushaone Bishanga sweetlady na wanakamati wote wa Mahusiano.

Akiwa mwanaume je?
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom