Niko singo, nahitaji wa kuliwazana nae.

Pole Mkuu ila ndio maisha

Thanx manoah
Hawa wanawake kwa wanayotufanya ilotakiwa tuwaepuke kabisa lakini ndio hivyo wako kama magari, japo yanaua watu kila kukicha lakini bado tunayapanda tena kwa kulipia nauli/wese.
 
Last edited by a moderator:
Chilli & mkiva are u smokin daga? Or wida? It will b gudda for u to pump up what u've gotta.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom