Niko singo, nahitaji wa kuliwazana nae.

Poa men, naona unakua muogaaaa sanaaa men! Leo, join ni call kwenye 112 tukamchukue madame B na Lara 1 pale kino clain tukale bataaaa au sio mkali wangu?

Hiyo kinoclain sitaki hata kuisikia. Nikipitaga mitaa hiyo haya pembeni siangaliagi kwa nilichofanywa. Mwee!
 
Bora unge weka sifa zako ili atakaye vutiwa akufuate! Pia ungeeleza sababu za kuachika!

Nakutakia safari njema!
 
Bora unge weka sifa zako ili atakaye vutiwa akufuate! Pia ungeeleza sababu za kuachika!

Nakutakia safari njema!

Kama nilivyojieleza, mimi ni kijana na nina kipato cha kawaida kilichoniwezesha kumiliki tunyumba tutatu na tugari kadhaa. Nadhani hizo ndizo sifa za msingi ambazo zingehitajika kujulikana. Nyingine nitamPM nisije leta dhahama hapa.
Sababu zangu za kuachika hazitofautiani na zako so unaeza nisadia hapo Ruttashobolwa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom