Niko serious

Unataka mwenye miaka 19? Una umri gani? Manake natafuta mtoto wa kuadopt.
 
Ndo unamaanisha nini?

hahahahaha kashone thuti za kithatha ili niwahi kujipatia wifi khaa hizo kaunda zako akutake nani...........labda kama wallet inatuna hahahahaha
 
hahahahaha kashone thuti za kithatha ili niwahi kujipatia wifi khaa hizo kaunda zako akutake nani...........labda kama wallet inatuna hahahahaha

Ntazbadl. Halafu ili wallet itune itabidi niuze kale kabaiskel ka urithi.
 
Ntazbadl. Halafu ili wallet itune itabidi niuze kale kabaiskel ka urithi.

hutapata pesa nyingi,kabaiskeli kako kameshapitwa na wakati teh teh teh teh fanya biashara nikukopeshe mtaji.
 
watakuja best
subiri kidogo!!
ningekua wa kike
ningeku pm mweeeh!!
 
subiria watajitokeza masaa machache.
 
kaaazi kweli kweli...wanawake wote hivi mtu unashindwa kufunguka mpaka unakuja Jf kutuma maombi.
Vumilia tu utapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…