kila mtu anasema yuko serious,wengine wanasema wamekoma,wengine wamepata,wengine hakuna userious................loh kila la kheri mkuu.
we ushapata?
Tetesi...!
tayari nina foleni,nasubiri kuwafanyia interview tu
Duh! Hvi jina langu lipo kwenye orodha?
unamiliki nini labda nikuongeze kwenye list:yo::yo:,baba'ko nani vile?
Namiliki kabaiskel ka urithi na kaunda suti 2.
ahahaaa acha tu mi hoiTetesi...!
Dah! Mie mzee. Kumbe nimepitwa na wakati?aaagh sitaki aiseh hizo kaunda ndo unaziaminia wakati wenzio washatoka karne hiyo.
Dah! Mie mzee. Kumbe nimepitwa na wakati?
kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake.:yo: