Shemtibuko JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 728 Reaction score 1,014 Jan 26, 2016 #81 Kama ni bundle jamaa wa Eritrea wamewekewa unlimited bundle....!
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Jan 26, 2016 #82 Mgirik said: aaah! Mbwembwe tu, lakn si unakumbuka naww ni miongon mwa maadui zake? Alisema atadili nao wote hahahaaa! Mkuu vp kumbatio Click to expand... Ha ha ha hanipati kumbatio linakaribia kuzaa Matunda mema nalo Lina wivu balaa
Mgirik said: aaah! Mbwembwe tu, lakn si unakumbuka naww ni miongon mwa maadui zake? Alisema atadili nao wote hahahaaa! Mkuu vp kumbatio Click to expand... Ha ha ha hanipati kumbatio linakaribia kuzaa Matunda mema nalo Lina wivu balaa
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,082 Jan 26, 2016 #84 Rou BigBro said: Taxes and fees included: Euro 982.44 r Click to expand... round trip au?
mbinde JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 801 Reaction score 652 Jan 27, 2016 #85 UncleBen said: Hivi ni Mkuu ndio yule jamaa anayesema hakuna Ukimwi unaopatikana kwa ku sex ??? Click to expand... Mkuu hujakosea ndo huyohuyo.
UncleBen said: Hivi ni Mkuu ndio yule jamaa anayesema hakuna Ukimwi unaopatikana kwa ku sex ??? Click to expand... Mkuu hujakosea ndo huyohuyo.
Bigbootylover JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 2,847 Reaction score 1,835 Jan 27, 2016 #86 Fursa hii, ngoja twende MIZIGO itakuwepo sijui
Dr Rutagwerera Sr JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 5,807 Reaction score 11,485 Jan 27, 2016 #87 Nifah said: Kwani wamesema warembo wao wachukuliwe au ni sheria (kwanza nasikia bado ni muswada) kuwa wanaume wa Eritrea ni lazima waoe wake wawili? Click to expand... Mkuu imeshapita hiyo. Grand Mufti wao ashapitisha
Nifah said: Kwani wamesema warembo wao wachukuliwe au ni sheria (kwanza nasikia bado ni muswada) kuwa wanaume wa Eritrea ni lazima waoe wake wawili? Click to expand... Mkuu imeshapita hiyo. Grand Mufti wao ashapitisha
kirumonjeta JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 3,966 Reaction score 1,968 Jan 27, 2016 #88 Unasema wakenya hawana haja ya viza???tayari tumeshawakosa,hawa jirani zetu wanavyopenda naniliu ni balaa,si mnakumbuka kule ROMBO??
Unasema wakenya hawana haja ya viza???tayari tumeshawakosa,hawa jirani zetu wanavyopenda naniliu ni balaa,si mnakumbuka kule ROMBO??
Mnyongeni Mnyonge JF-Expert Member Joined Mar 13, 2015 Posts 628 Reaction score 731 Jan 27, 2016 #89 Haki tena hivi unajua jana meutafuta ubaloz wao sijauona tunafanyaje kupata viza
Asili100 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 240 Reaction score 181 Jan 27, 2016 #90 yani hiyo sample hapo uliyoweka mkuu PAGAN ndio itufanye tuamini kua population ya zaidi ya wanawake milioni 3 wako ivo ivo ??
yani hiyo sample hapo uliyoweka mkuu PAGAN ndio itufanye tuamini kua population ya zaidi ya wanawake milioni 3 wako ivo ivo ??
Dr Rutagwerera Sr JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 5,807 Reaction score 11,485 Jan 27, 2016 #91 Jamani Afrika yetu ina watoto wazuri. Huku Rwanda,Tanzania; bado Ethiopia, Eritrea, Cape Verde, Seychelles, Mauritius, South Africa, Comoro, Djibouti to mention few
Jamani Afrika yetu ina watoto wazuri. Huku Rwanda,Tanzania; bado Ethiopia, Eritrea, Cape Verde, Seychelles, Mauritius, South Africa, Comoro, Djibouti to mention few
McDonaldJr JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 6,386 Reaction score 7,561 Jan 27, 2016 #92 Hii hali hata Tz ipo ila haijatangazwa maana idadi yetu wanaume hata tugigawana mabinti watatu wengine watabaki.
Hii hali hata Tz ipo ila haijatangazwa maana idadi yetu wanaume hata tugigawana mabinti watatu wengine watabaki.
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jan 27, 2016 #93 Yaka said: Mkuu imeshapita hiyo. Grand Mufti wao ashapitisha Click to expand... Sawa mkuu,ila hiyo avatar yako imenikumbusha mtu fulani hivi.....
Yaka said: Mkuu imeshapita hiyo. Grand Mufti wao ashapitisha Click to expand... Sawa mkuu,ila hiyo avatar yako imenikumbusha mtu fulani hivi.....
F fazam JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,868 Reaction score 1,291 Jan 27, 2016 #94 jojojo said: Kuhusu dini, hasa ukristo inakuwaje huko eritrea Click to expand... tumeambiwa tufuate manabii....kwani ibrahim alikuwa na mke mmoja si alioa wengi......
jojojo said: Kuhusu dini, hasa ukristo inakuwaje huko eritrea Click to expand... tumeambiwa tufuate manabii....kwani ibrahim alikuwa na mke mmoja si alioa wengi......
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,575 Reaction score 12,368 Jan 27, 2016 #95 PAGAN said: Click to expand... Wale wanaume wa Eritrea wanaokimbia nchi yao wanamaana gani
mbinde JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 801 Reaction score 652 Jan 27, 2016 #96 Wangeondoa visa sasa nami sahivi ningekua namtafuta watatu, imebidi kufanya mchakato wa visa.
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,254 Jan 27, 2016 #97 Jambazi said: Ticket kwenda na kurudi ni kiasi gani Click to expand... Unarudi kufanya nini tena?
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,334 Reaction score 22,279 Jan 27, 2016 Thread starter #98 Usher-smith said: Wale wanaume wa Eritrea wanaokimbia nchi yao wanamaana gani Click to expand... Wanaume au vibonzo Tu wale. Mwanaume utakimbia watoto kama hao
Usher-smith said: Wale wanaume wa Eritrea wanaokimbia nchi yao wanamaana gani Click to expand... Wanaume au vibonzo Tu wale. Mwanaume utakimbia watoto kama hao
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,792 Jan 27, 2016 #99 Red Scorpion said: Unarudi kufanya nini tena? Click to expand... Nyumbani ni nyumbani tu mkuu!! Magufuli kidogo anarudisha matumaini kiasi flani ya kuendelea kuishi hapa
Red Scorpion said: Unarudi kufanya nini tena? Click to expand... Nyumbani ni nyumbani tu mkuu!! Magufuli kidogo anarudisha matumaini kiasi flani ya kuendelea kuishi hapa
kahtaan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2009 Posts 19,156 Reaction score 11,608 Jan 27, 2016 #100 jojojo said: Kuhusu dini, hasa ukristo inakuwaje huko eritrea Click to expand... Dini yenye Kuruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja ni UISLAMU PEKE YAKE. Sasa sijui kondoo watafanyaje huko! Itabidi wahame au wasilimu. Wakiambiwa UISLAMU ni Solution ya kila kitu wanakuwa wabishi. Ona sasa kasheshe hii.
jojojo said: Kuhusu dini, hasa ukristo inakuwaje huko eritrea Click to expand... Dini yenye Kuruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja ni UISLAMU PEKE YAKE. Sasa sijui kondoo watafanyaje huko! Itabidi wahame au wasilimu. Wakiambiwa UISLAMU ni Solution ya kila kitu wanakuwa wabishi. Ona sasa kasheshe hii.