mistaki kwenda,...nataka niongeze knowledge2 mkuuuuuu
Kuna wajinga wanakimbilia ulaya eti!!Hizo ndio nchi za kuzitembelea!
Kule nchi bado haijatulia ndo maana watu wa Eritrea wanakimbia sana, maana amani bado hajawa stable, na vile visichana vyao vina wivu noma, halafu kuchapiwa ni sehemu ya maisha. Kuna Mbongo mmoja yupo pale ana zaidi ya miaka 20, ukifika Asmara ni mtu maarufu sana.
Anadai hana cha kuja kufanya Bongo kwa sababu maisha yake yote ameyawekeza pale na amekubaliana na hali yamaisha paleHapo kwenye red, sasa nimegundua kwanini jamaa hataki kuondoka hapo.
Naskia kule hamna ukimwi embu Google ulete mrejesho
.....I must go! Eritrea!
Mkuu punguzeni kwanza vitambiSasa mkienda huko na sisi huku je.........?....
aaah! Mbwembwe tu, lakn si unakumbuka naww ni miongon mwa maadui zake? Alisema atadili nao wote hahahaaa!Alikupenda sana may be ha ha ha pole sipat picha dili zilivuokuwa zinaruka hewan
Mkuu punguzeni kwanza vitambi
Sababu inaeleweka hata kwa mtt wa chekechea.Hapo kwenye red, Haiitaji kuwa jiniazi kujua kwa nini jamaa hataki kuondoka hapo.
kwa nini umesema hivyo nifahHiyo nchi sio sehemu salama ya kuishi,nakupenda Tanzania.
Huo muswada wao wanaotaka kuupitisha hujausikia mkuu?kwa nini umesema hivyo nifah