Niko njia panda

Niko njia panda

Every relationship has a chaser, and the chased. You're the chaser, my friend. Now relax, if you're worth it, she'll get back to you and explain everything.

Huyu mtoa mada kaongea Kiswahili mwanzo mwisho sasa wewe umeshindwa kumjibu kwa hiyo lugha??
 
Teknolojia Imekuwa Sana Anaweza Kukublock
Kuanzia Simu Yako Hadi WhatsApp
Unatakiwa Kuwa Makini Na Hamjagombana
Huenda Kuna Shida Imempata
Halafu Huna Cha Kupoteza
 
Yeyeto ambaye amepevuka kia saikolojia, hukubali mabadiliko...
 
Ukweli ni kwamba inakera sana. Alitakiwa akujulishe kuwa kafanya maamuzi ya kubadili gia angani.

Ingawa siyo vizuri kuongea naye, nakushauri kama unaweza kumtafuta kwa namba nyingine kabisa, mpigie halafu usikie anajikanyaga nini. Vinginevyo, utakuja kuletewa hadithi za kuibiwa simu na upuuzi mwingine ili uendelee kuwa kwenye waiting list.

Ni vizuri kuhakikisha (kama inawezekan) ili uanze mwaka kwa amani!

Inatia hasira sana aisee

Ahsante kwa ushauri broo,ntaufanyia kazi
 
tafuta hela kwanza mkuu,ungekuwa na hela usingeachwa mkuu.umri wako ni mdogo sana jikite kwanza katika kutafuta maisha.ukiwa na hela wanawake utawakimbia.huyo hana time na wewe kwa sababu anaona anapoteza muda wake kwako(sor for the use of abusive lg).
 
Boom lenyewe la mawazo akae na kiboifrend afe njaa, we unamuamsha alfajiri akapande sijui sabena teh tulia bana mtoto yupo ndani ya private car, kavaa kigauni kifupi, anakula kiyoyozi dereva anachange gia huku mkono pajani....maisha ni matamu haki a mama
 
Pole sn,nikikusimulia langu utazimia.Hawa viumbe ni wengine ktk dunia hii.
 
Sasa tukushaur nn hapo wakat jibu unalo
 
Teknolojia Imekuwa Sana Anaweza Kukublock
Kuanzia Simu Yako Hadi WhatsApp
Unatakiwa Kuwa Makini Na Hamjagombana
Huenda Kuna Shida Imempata
Halafu Huna Cha Kupoteza[/

Ndo nashangaa mkuu,maana nmebadili namba yangu ya whatsapp nkaweka nyingine....ajabu namkuta,tena recently katoka online
 
Ahsante kwa ushauri broo,ntaufanyia kazi

Jitahidi umalizane naye ili uanze mwaka na mambo mapya....

Kuna dada mmoja aliniacha kwa kejeli sana enzi hizo. Basi nikamsimulia shemeji yangu ambaye alinambia kitu ambacho sitakisahau. Alisema kuwa, "achana na huyo binti na umshukuru kwa kakuaachia nafasi; kwani kwa umri wako wasichana wanaokuhitaji ni wengi sana. Ila huyo binti hakujua kuwa kapoteza lulu". Miaka kama 10 baada ya hilo tukio alinijia kwa kilio na machozi kibao eti nimsamehe na kumpa nafasi pamoja na kwamba nilikuwa na mke na watoto. Jibu langu lilikuwa simple, "nimekusamehe ila mlango ulishafungwa". Hadi leo anahangaika uzeeni.

Malizana naye halafu uone jinsi malipo yalivyo hapa hapa duniani. Utakuwa na amani kama vile umezamishwa kwenye mto Yordan!
 
Boom lenyewe la mawazo akae na kiboifrend afe njaa, we unamuamsha alfajiri akapande sijui sabena teh tulia bana mtoto yupo ndani ya private car, kavaa kigauni kifupi, anakula kiyoyozi dereva anachange gia huku mkono pajani....maisha ni matamu haki a mama

ungenishaur cha kufanya sister,nko njia panda kuliko kuzid kunitia hasira...maana sielew hata kinachoendelea
 
Sawa Evelyn Salt,

Huyo binti hakuwa na njia mbadala ya kumweleza badala ya kumtesa kiasi hicho....

Kwa vile yalishanikuta, nimehisi hasira sana!
 
Last edited by a moderator:
tafuta hela kwanza mkuu,ungekuwa na hela usingeachwa mkuu.umri wako ni mdogo sana jikite kwanza katika kutafuta maisha.ukiwa na hela wanawake utawakimbia.huyo hana time na wewe kwa sababu anaona anapoteza muda wake kwako(sor for the use of abusive lg).

shukran kwa ushaur mkuu,Mungu akubariki sana.
 
ungenishaur cha kufanya sister,nko njia panda kuliko kuzid kunitia hasira...maana sielew hata kinachoendelea

Hii ndiyo JF dogo...

Wewe tafuta njia za kumaliza matatizo yako haraka ili ule sikukuu na udhu....Vinginevyo utaishia kuhangaika na watu ambao wameingia JF kusogeza masaa!
 
tafuta hela kwanza mkuu,ungekuwa na hela usingeachwa mkuu.umri wako ni mdogo sana jikite kwanza katika kutafuta maisha.ukiwa na hela wanawake utawakimbia.huyo hana time na wewe kwa sababu anaona anapoteza muda wake kwako(sor for the use of abusive lg).

Mbona hata wenye hela wanachezewa mkuu?

Dogo ajipange na kuchanga karata upya. Hakuna kiwako cha hela ambacho kinaweza kukuhakikishia kuwa hutaporwa mwanamke...

Hata King Mswati nasikia anachezewa rafu!
 
Back
Top Bottom