Huyu mtoa mada kaongea Kiswahili mwanzo mwisho sasa wewe umeshindwa kumjibu kwa hiyo lugha??
nmekuelewa mkuu,shukran sana
ungenishaur cha kufanya sister,nko njia panda kuliko kuzid kunitia hasira...maana sielew hata kinachoendelea
Ha ha ha aah babu hayo mambo ya kawaida buana kila mtu ana zamu yake ya kuumizwaSawa Evelyn Salt,
Huyo binti hakuwa na njia mbadala ya kumweleza badala ya kumtesa kiasi hicho....
Kwa vile yalishanikuta, nimehisi hasira sana!
Ha ha ha aende kwanza double h akaagize kukuchoma na Fanta, akili ikae sawaHii ndiyo JF dogo...
Wewe tafuta njia za kumaliza matatizo yako haraka ili ule sikukuu na udhu....Vinginevyo utaishia kuhangaika na watu ambao wameingia JF kusogeza masaa!
Umekuwa msemaje wake, ama ni kihere here tu Chief??
Clown Ass Niga hutopata cheo cha Nyani Ngabu humu na inglishi yako ya Lyrics
Boom lenyewe la mawazo akae na kiboifrend afe njaa, we unamuamsha alfajiri akapande sijui sabena teh tulia bana mtoto yupo ndani ya private car, kavaa kigauni kifupi, anakula kiyoyozi dereva anachange gia huku mkono pajani....maisha ni matamu haki a mama