Niko njia panda

Niko njia panda

Mwishomi mwa mwaka kunatokea ajali nyingi sana sasa hizi za mapenzi ndo nyingi za kuwekana majeraha ya moyo na spare part hakuna

ila hao viumbe wakati mwengine unaweza kupigwa kibuti hata sababu hujui mpe mda siku 1,2,3.... Ikiwezakana week ikipita hapo shukuru Mungu tafuta manzi mwengine
 
Nashkuru kwa ushaur sista,lkn sikukuu ndo imepelekea anifanyie hvo?

Wewe dogo vipi? mbona hiyo ndiyo kawaida ya maisha? huyo kaenda mahali kulamba asali lakini mwisho wa siku atagundua hakuna asali ya kumshibisha; tulia atarudi, ila ukweli ndio huo jua unapsi taim naye wala usiumie bure kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo pia dumu sana kuvaa makoti ya mvua kabla hujazama chumvini
 
Your story with her simply is over. Deal and learn on how to accept reality!
Be confident to face worst moments in life. This is one of them. You have bright another day tomorrow, never rely your feelings to someone you just met with once, didn't you expect her to leave you or you leaving her one day? Hope it's all about probability, forget her! Move on
 
Habarini za wekend wadau....naombeni mnisaidie kimawazo.umri wang ni miaka 24.ni muajiriwa serikalin huku Dodoma,wilaya ya Mpwapwa,lkn home ni Iringa.nna Girlfriend wangu ambaye yupo chuo cha RUCO kilichopo iringa,,nmedumu naye takriban mwaka mmoja na nusu,ingawa tumepitia changamoto nying sana lkn tumeweza kudumu pamoja na hatimaye kusonga mbele.siku ya tar 17 alinipigia simu kunijulisha kuwa tarehe 18 ambapo ni siku ya ijumaa ana TEST,,hvo akimaliza hyo test ataangalia utaratibu wa kusafir ingawa chuo kinafungwa tar 23,aliniambia kuwa atafanya hvo kwa sababu hakutakuwa na mishe yoyote,hvo akiendelea kubak hapo ataboreka.mm nkaridhia,,siku ya jana jion akanijuza kuwa kesho ambapo ni leo kuwa atasafir kama alivonijuza mwanzon na aliniambia kuwa ataondoka na Gar ya sa 12,,,akaniambia kuwa anaenda Dar es salaam kusalimia ndugu...ila kwao ni MOSHI.mm nkaridhia,nkamtakia safar njema.mida ya saa nne tulifanikiwa kuongea zaid na kutakiana uck mwema.....PICHA NDO IKAANZA KULIVO KUCHA.

Nlipanga niwah kumuamsha ili awah hyo gar ya sa 12,lkn nkajikuta nmepitiwa na usingizi.nmekuja kuamka baada ya sa 12 asubuh,ambapo nlishangaa kutokukuta sms wala call ya kunijulisha kama kaondoka ama la.nliamua kumtumia text,kumuomba samahan nanukuu ,,SAMAHAN NMECHELEWA KUAMKA,NLIPITIWA NA USINGIZ HVO KUSHNDWA KUKUAMSHA KWA WAKAT ILI UWAH GAR,,, ikapokelewa lkn haikujibiwa.nkaamua nitume tena text ya kumtakia safar njema,nayo ikapokelewa lakin haikujibiwa.nkaendelea kuvuta subira mpaka mida ya sa tano,lkn bado alikuwa kimya.nkaamua nimpigie cm,nmejarib kama mara 20 kwa kutumia namba yangu ya voda,naambiwa namba busy...nkahis kuwa AMENIBLOCK lkn nkapuuza hlo wazo,nkaamua nitumie tena namba yangu ya Tigo lkn nlipata matokeo yaleyale.nliamua kujipa moyo na kuamin kuwa wenda anaongea na simu nyingine.nkawa natuma tu sms zinaonyesha deliverd lakn hazijibiw...nmekaa saa moja na nusu..nmemtafuta tena lkn matokeo ni yaleyale.nkaamua kuingia WHATSAPP nkaangalia namba yake anayotumia humo wasap ambapo mara ya kwanza ilikuwa inaonyesha last seen,status pamoja na profile picture..lkn vyote hvo havionekan saiv..nkawa bado siamin kuwa AMENIBLOCK..ghafla likanijia wazo,la kutaka kufanya confirmation,binafsi wasap natumia namba ya tigo..cjawah badili namba.na yeye anafahamu hvo,,nliamua kwenda kwenye account yang ya wasap na kubadili namba,nkaweka namba ya voda.halafu nkarefresh nkarud tena kuangalia ileile namba yake anayotumia wasap....maajabu ndugu zangu,nkakuta profile picture ipo kama kawaida na last seen inaonyesha ni saa Nane na dkka 50 mchana huu.hakika nmejikuta natetemeka,na sijataka kuliamin hili tukio...nmekuja kuhakiki kuwa hata namba yangu ya wasap ameiblock pia..

Nisaidien kimawazo ndugu zanguni,nifanye nn..maana kiukweli nashndwa kuamin..cjagombana naye zaid ya changamoto za kawaida katika mahusiano...pia cjaelewa kama kasafir ama laa,

NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU NYOTE

Kabla hujageuka Lowassa na kuweka uwamuzi mgumu stahamili mpaka upate jibu lake. Duniani kuna mengi huwezi kujua pengine cm yake imeibiwa. La msingi wewe mwachie atakuja kukupigia mwenyewe kama kulitokea sitofahamu flani. Hasa ukiangalia jana mlikuwa poa mpaka last minute. Lakini pia inawezekana kuna aliekuzidi ndio yupo nae kwa sasa.
 
Ya nini yote haya.Sidhani kama kuna sheria inayokataza mtu kuongea lugha yoyote anayotaka isipokua yenye maudhi(matusi).

Yani kuna watu wana wivu nmebaki namshangaa hadi nmeeka chupi kichwani
 
Ya nini yote haya.Sidhani kama kuna sheria inayokataza mtu kuongea lugha yoyote anayotaka isipokua yenye maudhi(matusi).

Aliyeomba ushauri kaandika Kiswahili safi, wewe unakuja hapa kumjibu kwa kingereza una uhakika gani atamwelewa?? Huoni hata hiyo post yake jamaa hajaweza kuijibia chochote..
 
hakuna ushahidi wa wazi wa usaliti zaidi ya huu hapa.
 
Milima na mabonde ya maisha hiyo.

Tuliza kichwa endelea na shughuli zako utapata majibu tu ya nini kinaendelea.

Pole na ukumbuke kula maana nahisi kama hujala leo vilee...
 
Aliyeomba ushauri kaandika Kiswahili safi, wewe unakuja hapa kumjibu kwa kingereza una uhakika gani atamwelewa?? Huoni hata hiyo post yake jamaa hajaweza kuijibia chochote..

Asingeelewa angeomba amweleweshe wala hakukua na sababu kuandika hicho ulichoandika.Ni mtazamo tu.
 
Hakuna ulichopoteza zaidi kuliko ulivyopata kutoka kwa huyu mchumba wako,kikubwa ulichokipata ni elimu ya bure na ya hakika juu ya viumbe hao,move on na sahau kama kuna mtu kama huyo duniani,mfute kwenye simu na kichwani pia.

Ni ngumu kukubariana na Moyo wako lkn imetokea na haina namna.
But remember
Problem is not a problem but ur atitude toward a problem is a problem
 
Ni changamoto tu, kaza moyo... Love is an art mi huwa wanawake kwenye relationship nawaona kama kijimfumo fulani kilicho jaa changamoto ambacho kila sekunde kinahitaji updates, sometimes we need to fake updates ili hio systems ione tuna care ila its nothing zaid ya kama kazi ya F5 kwenye keyboard..

Potezea sahau tafuta mwingine wa kusaidia ku balance schedule yako
 
Ahsante kwa ushaur brother paulo

Aliyeomba ushauri kaandika Kiswahili safi, wewe unakuja hapa kumjibu kwa kingereza una uhakika gani atamwelewa?? Huoni hata hiyo post yake jamaa hajaweza kuijibia chochote..

Na hiyo post hapo juu sio jibu?
Acha wivu wa kithenge mwanaume utajalawitiwa bureeee sasa mtu akiandika kingereza we unawashwa nini, nyokyo wewe
 
Inawezekana ni kweli amesafiri. Lakini kwa mambo yake hayo, inaonesha kuna mtu yupo zaidi yako ndiyo anawasiliana nae kwa sasa na labda ndiyo wanaenda kukutana. Siyo kama nakuumiza moyo lahasha ila mambo haya yapo. Ana babie mpya.
 
Back
Top Bottom