Niko njia panda, ushauri unahitajika

Thanks...narudia tena Asante nitaleta mrejesho humu humu panapo uhai..
 
Asante bro...ila hio tia sana mhhhh
 
I admit ni mistake nimefanya mkuu,ila mkuu hakuna ambaye hajawahi fanya makosa.
Ndiomaana nakushauri tu upambane na hicho kigongo hadi uhakikishe umepangua... Maana hata sisi wengine tuliwahi kukutana na changamoto (zakujitakia) zilizo sabishwa na starehe zetu, na mwisho wa siku tulipambana nazo hadi kikaeleweka...
 
Mbona mlivyokuwa mnazini hukuomba ushauri?
 
Acha kutumia Hisia kuliko akiliii kijanaa...!! Wewe unadhani wanawake wote wana maziwa ya kutoshaaa???? Na pia anaweza akawa nayo ya kutosha lakini anafanya kaziii unadhani mtoto atanyonyooo dyudyuuu yakoo au????

Kanuni Ni ile ile..Kama unaruhusu Hilo unaingia kwenye kundi la shithole
 
Andaa 40,000 ya kutolea
 
d
Dogo ulivyokuwa unamgegeda ulituomba ushauri??
 
Mapenzi na shule hayajawahi kuchanganyika kama mafuta na maji.
Pole sana kijana, wevuna ulicho panda tu maana wazee walikupeleka shule ukasome na badala yake ukaenda kufanya mapenzi.
Alijua anamficha Mungu hamuoni,sasa hatimaye kamuumbua...
 

Niliwahi pitia hiii hali

Njooo inbox nikueleze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…