Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,020
- 2,604
I admit ni mistake nimefanya mkuu,ila mkuu hakuna ambaye hajawahi fanya makosa.Mapenzi na shule hayajawahi kuchanganyika kama mafuta na maji.
Pole sana kijana, wevuna ulicho panda tu maana wazee walikupeleka shule ukasome na badala yake ukaenda kufanya mapenzi.
VYOTE KWA PAMOJA,,nipo CBEkwaiyo wewe unatoa ushauri au wewe unataka ushauri???? utakuwa UDOM wewe
Bro mbona Kama unatuchang'anya,una omba ushauri au umekuja kutushauri sisi tusimwagie ndani?!
Ikiwezekana nishauri maana hata sielewi mtoto nitamleaje?
Mkuu niliforce kutumia ndomu manzi hataki[SUB]nyie were ni mapopoma, mmeshindwa kushauriana kutumia hats sindano au vidonge..?[/SUB]
Ya kufanya mzeeeNjia panda ya wapi mkuu upo?
Nimekuambia ungemshauri atumie vidonge/majira au sindanoMkuu niliforce kutumia ndomu manzi hataki
Mhhh mbona hatari na nusu wazee...bora aitoe tuuhuggies 30,000 week 1
Ukunga 150,000 gharama za bima bila bima 750,000
Cerelac 30,000
Maziwa 30,000 mwezi
Set ya nguo,bebishow, mabeseni, chupa za maziwa andaa 500,000
Vingine wataongezea wadau.
huggies 30,000 week 1
Ukunga 150,000 gharama za bima bila bima 750,000
Cerelac 30,000
Maziwa 30,000 mwezi
Set ya nguo,bebishow, mabeseni, chupa za maziwa andaa 500,000
Vingine wataongezea wadau.
Akili hio haikuwepoNimekuambia ungemshauri atumie vidonge/majira au sindano
Usijaribu mkuu,ni hatari na nusu..Nikiwa mkubwa sitomwaga ndani
Nani aliyekwambia umefanya kosa? Kumpa mimba binti ukiwa chuo wala sio kosa. Kuna faida nyingi sana kama ukija kumuoa huyo binti na mkaendeleza familia yenu. Mimi nilimpa mimba mke wangu nikiwa second year chuo na nilikuwa na wasiwasi ila nikapiga moyo konde akazaa mtoto na baada ya miaka mitatu nikamuoa. Kwa sasa nina miaka 43 mtoto wangu yuko chuo kikuu nje ya nchi mwaka wa pili (umri kama wako). Nasubiri amalize apate kazi. Wenzangu ambao tuko umri sawa vitoto vyao ndio viko la saba kwa sasa. Nakaribia kuitwa babu kama mwanangu nae akitembelea nyota yangu ya ngono zembeI admit ni mistake nimefanya mkuu,ila mkuu hakuna ambaye hajawahi fanya makosa.