Niko kwenye mood ya malavedavi

hivi lile panga langu sijui liko wapi ngoja nilitafute nahisi nililiweka chini ya uvungu wa kitanda ngoja nimtafute juma akanisaidie kulinoa

hahahahhahhah lol
unavituko wewe..
panga huna ule ni wembe tu...
nilidhani ukiwa na macho 4 unaona sana lakini sasa nina wasiwasi lol
 
hahahahah lol ... (oohhh dont worry about that)
haya tukubaliane unakuja kunipokea kwenya daraja bovu..
halafu mi ntakuja..lol

popote utakapo kuwa panda daladala ya sinza mwambie konda unashukia kwa bi nyau
ukifika utakuta watoto wa kike wanacheza mdako...wapite usiongee nao sababu usiniulize
rudi nyuma....utakuta wazee wanacheza bao....sema asalam aleykum salamu nyingine yoyote hawaitikii
na ukiwapita bila salamu utajuta kuzaliwa...kulia kwako kuna makaburi hesabu la tatu jipya jipya hivi...
pinda kushoto utakuta daraja la kamba..tafadhali usivae hai hili vaa flati shuzi...ukimaliza daraja tu...ntakuwa
nakusubiri...diskripshen yangu....sina shati,,,suruwalirangi ya ugolo...chini peku....we utakuwaje?
 
Pinda kushoto utakuta daraja la kamba..tafadhali usivae hai hili vaa flati shuzi...ukimaliza daraja tu...ntakuwa
nakusubiri...diskripshen yangu....sina shati,,,suruwalirangi ya ugolo...chini peku....we utakuwaje?

ngoja nikawastue wale wahuni wa mtogole niwaambie kuna ishu huku
 
popote utakapo kuwa panda daladala ya sinza mwambie konda unashukia kwa bi nyau
ukifika utakuta watoto wa kike wanacheza mdako...wapite usiongee nao sababu usiniulize
rudi nyuma....utakuta wazee wanacheza bao....sema asalam aleykum salamu nyingine yoyote hawaitikii
na ukiwapita bila salamu utajuta kuzaliwa...kulia kwako kuna makaburi hesabu la tatu jipya jipya hivi...
pinda kushoto utakuta daraja la kamba..tafadhali usivae hai hili vaa flati shuzi...ukimaliza daraja tu...ntakuwa
nakusubiri...diskripshen yangu....sina shati,,,suruwalirangi ya ugolo...chini peku....we utakuwaje?

hahahahahaha yaani nimekosa la kusema /..
sina mbavu ..
uananichekeshaga ukiandikaga haya jamani uuhhh sina hamu...
 
The Following User Says Thank You to hashycool For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
popote utakapo kuwa panda daladala ya sinza mwambie konda unashukia kwa bi nyau
ukifika utakuta watoto wa kike wanacheza mdako...wapite usiongee nao sababu usiniulize
rudi nyuma....utakuta wazee wanacheza bao....sema asalam aleykum salamu nyingine yoyote hawaitikii
na ukiwapita bila salamu utajuta kuzaliwa...kulia kwako kuna makaburi hesabu la tatu jipya jipya hivi...
pinda kushoto utakuta daraja la kamba..tafadhali usivae hai hili vaa flati shuzi...ukimaliza daraja tu...ntakuwa
nakusubiri...diskripshen yangu....sina shati,,,suruwalirangi ya ugolo...chini peku....we utakuwaje?

kuniepushia haya yote kwa nini wewe usije tu kunipokea stendi ya mjini ???
 
kaka nina bifu nao hao.....juzi tulikuwa na dili la simu nika wakwepa!

wale acha kuna jamaa alipita mitaa ya pale akafikiri sijui yuko mikocheni anajifanya yeye airtel yuko huru anaongea na simu tu kwanini wasimpe mitama halafu ile kustuka hana viatu, mkanda, simu na mazagazaga mengine hawafai kabisa wale
 
hahahahahaha yaani nimekosa la kusema /..
sina mbavu ..
uananichekeshaga ukiandikaga haya jamani uuhhh sina hamu...

bado hujaniambia utakuwaje.....mi sinaga ma ubitozi ya sijui shampeni mara redi diress...mara kiatu hai hili mara sijui maua maua....talking about maua hela bora unletee nkajichanganye krismasi hii
 
hahahahah lol kwa kweli naona iko kwenye familia ..
Urithi mtakatifu lol..

Hivi babu matiti na ye kasha kitoa maana haonekani lol...

yah!!!! Yeye ameamua festive season yote atakuwa anakagua ikifika january most probably atakuwa ame expire
 
bado hujaniambia utakuwaje.....mi sinaga ma ubitozi ya sijui shampeni mara redi diress...mara kiatu hai hili mara sijui maua maua....talking about maua hela bora unletee nkajichanganye krismasi hii

hahahahah lol sasa hiyo description uliyoitoa hapo ndo hivyo hivyo nilitaka kuandika...
sasa nije uchi au...
maana inaoneka style zangu zote zitakuwa nje ya Zone za huko kwenu lol
 
nimepanga kunywa bura asubuhi, mchana, jioni this festive season

uuuwiiii nalionea huruma hilo tumbo na figo zako..
maana hizi pombe za kwetu ukiwa unakunywa kama maji
na yenye inakukunywa wewe nje mpaka ndani ...lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom