Niko kwenye mood ya malavedavi

Ndiyo napiga za mwisho mwisho kabla ya kwenda kwenye Retreat!

Anywayz Beer is the proof that God Loves us

hahahahahahah lol kwa kweli naona umechangamka na moja leo lol
I feel sorry for people who don't drink. When they wake up in the morning, That's as good as they're going to feel all day.

me like ur signature very much...
 
Me too like AD signature:
The courses of true love never did run smooth
images
 
same old kwa bi nyau! karibu sinza lakini!

hahahahah lol
umenikumbusha kipindi cha nyuma
pale uliponiambie nije kukutemblea..
eti nipande daladala inayoelekea sinza niteremkie kwenye daraja bovu
karibu na kwa bibi Nyau...
halafu nitembee krudi nyuma halafu ntaona makaburi halafu nikate kulia nitakuona...
hahahahahah alol
 
ndo bado naishi huko huko! promise me utanitembelea siku moja!
 
ndo bado naishi huko huko! promise me utanitembelea siku moja!

mmmmhhhhh ulinitisha sana.....
mi huko sina hamu ya kuja ..
labda tu unipokee hapo kwenye daraja bovu...
mi sipiti makaburini mwenyewe..

maana nilikuomba tukutane kwingine ukakataa ..
ukasema unataka tukutane sinza nyumbani kwenu ...hutaki kwenda kwenye sehemu nzuri ambayo haina maana yeyote lol
 
mmmmhhhhh ulinitisha sana.....
Mi huko sina hamu ya kuja ..
Labda tu unipokee hapo kwenye daraja bovu...
Mi sipiti makaburini mwenyewe..

Maana nilikuomba tukutane kwingine ukakataa ..
Ukasema unataka tukutane sinza nyumbani kwenu ...hutaki kwenda kwenye sehemu nzuri ambayo haina maana yeyote lol

just watching
 
mmmmhhhhh ulinitisha sana.....
mi huko sina hamu ya kuja ..
labda tu unipokee hapo kwenye daraja bovu...
mi sipiti makaburini mwenyewe..

maana nilikuomba tukutane kwingine ukakataa ..
ukasema unataka tukutane sinza nyumbani kwenu ...hutaki kwenda kwenye sehemu nzuri ambayo haina maana yeyote lol

usha ona?
they are just watching!
l.o.l
kwingine sitaki kuaibika mie....huko makwenu mwachunguzana hadi washikaje kijiko cha chakula!
 
hahahahh lol naona umefurahi sana ...
Ungetoa hata neno moja ingekuwa afadhali lol:party:

Vipi lakini maandalizi yameisha???

ohooo!!!!!!!! Bado yanaendelea bana we acha siku zinavyozidi kukaribia ndio watu tunazidi kupotea taratibu
 
usha ona?
they are just watching!
l.o.l
kwingine sitaki kuaibika mie....huko makwenu mwachunguzana hadi washikaje kijiko cha chakula!

hahahahah lol ... (oohhh dont worry about that)
haya tukubaliane unakuja kunipokea kwenya daraja bovu..
halafu mi ntakuja..lol
 
hahahahah lol ... (oohhh dont worry about that)
haya tukubaliane unakuja kunipokea kwenya daraja bovu..
halafu mi ntakuja..lol

hivi lile panga langu sijui liko wapi ngoja nilitafute nahisi nililiweka chini ya uvungu wa kitanda ngoja nimtafute juma akanisaidie kulinoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom