afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,153
- 9,271
hili neno "maneno matamu" sjui kwanini nikiliona linaniongezea hamu. sjui nikaanzishe sredi JF Doctor , nazani nina marazi.
hahahahahah Klorokwini wewe naona mwaka mpya wako umeanza mapema lol...
sasa hamu ya nini ndugu yangu?? ndizi, ndimu au parachichi??
hahahah lol hiyo thread hiyo mmmhhh good luck....