hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,841
ha ha ha ha ha kesi si haijaisha lakini
we unafikiri pm kazi yake nini?
ha ha ha ha ha kesi si haijaisha lakini
humphnicky,
vipi bado upo kwenye "mood"? Maana umepotea sana hapa!
may allah give you what you wsh,,,,,,,and to be happy with him /her,,,inshallahh,
Unamwombea kwa nini usijitoe mhanga ukaongezewa thawabu???:redfaces:
we unafikiri pm kazi yake nini?
:whoo::whoo::whoo:
Unamwombea kwa nini usijitoe mhanga ukaongezewa thawabu???:redfaces:
naona kakuta watu wako kwenye mood kuliko yeye
:redfaces::redfaces:we unafikiri pm kazi yake nini?
naona sasa wazidi ushakuwa watoa siri za chumbanii???????? eeeh???
:redfaces::redfaces:
duh!samahani mamii!
da shoga leo kakuacha kwenye mataa mikono juu,,,,aaaaah afrodenzi uwapi mamiii? Watu twakuhitaji huku...
kesi ya pili hiyoooo we zizidishe tuuu!!!!!!!!
duh!samahani mamii!
kumbe hashy unajua kuomba msamaha
mapenzi kaka.....
ha ha ha ha leo lazima umbembeleze nilham siku nzima
hivi kuna namna ya ku upload live music humu manake nina zeze hapa......
ya tatu itakuwa ya kwangu