Niko kwenye mood ya malavedavi

Niko kwenye mood ya malavedavi

hahahahahahah lol kwa kweli naona umechangamka na moja leo lol
I feel sorry for people who don't drink. When they wake up in the morning, That's as good as they're going to feel all day.

me like ur signature very much...

Duh kazi kweli kweli
 
da shoga leo kakuacha kwenye mataa mikono juu,,,,aaaaah afrodenzi uwapi mamiii? watu twakuhitaji huku...

vipi bibie nasikia unanitafuta ??
mmhh nini kinaendelea huku...
samahani nilikuwa kwenye kipindi nikipendacho... hahahha lol
 
hahahahha lol mambo madogo tu hayo lol
wala usiogope..
nini tena jamani nasikia mnanitafuta lol

mgongano wa interests...na colonial possessions....watu wanataka another berlin conference waweze ku resolve huu ugawaji wa strategic areas
 
mgongano wa interests...na colonial possessions....watu wanataka another berlin conference waweze ku resolve huu ugawaji wa strategic areas

hahahhaha lol
huo mkutano wa Berlin sijui ka utatokea tena..

mi naona tuwaite tu wakuu wa UN tu suluhishe mambo lol
 
khaaaaaa aaafrodeeeenzi ni wewe kweli au macho yangu????? na finest nae keshachomoka nini????? mi nnchotaka ukweli wako mpenzi huyu hash alikwambia mukutane wapi??? halafu kakwambia usiva nguo wala nini ye hapendi ilikuwaje hebu nidokeze tuu na baba watoto wako finest leo mikono juu tangu asubuhii,,,,lakini kwa kkuwa umewasili nafkiri mambo yatakwenda vizuri tuu>>
vipi bibie nasikia unanitafuta ??
mmhh nini kinaendelea huku...
samahani nilikuwa kwenye kipindi nikipendacho... hahahha lol
 
hahahhaha lol
huo mkutano wa Berlin sijui ka utatokea tena..

mi naona tuwaite tu wakuu wa UN tu suluhishe mambo lol

un hakufai 75% ya mishahara yao inatokea us nahofia kutokuwa fair......anyway how is fainest? kuwa makini sana na hii mutu imenichongea sana huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom