Wakuu wasalaam.
Moja kwa moja kwenye mada! Iko hivi juzi nilibutua pesa nikaamua kwenda Mwanza Kujipa pole nikatoka huku Geita vijijini Nikale Maisha kidogo.
Nikafikia kiwanja kimoja kinaitwa climax badae nikapata mtoto nikaenda kupoa nae!
Nilitumia mpila lakini Ile ya foreplay sijui nilishika kwenye nanilii yake nikashika na kwangu asalaee
Hapa napoandika huu Uzi kwenye Uume kumetokea vipele ambavyo vinatoa majimaji na vinauma hatari siku nzima sijatoka hata nje.
Ushauri hawa watu wakuokota kwenye mabar inabdi tuwaache!.
Sasa Mimi hapa mke wangu nitamwambia nn.?
Ama kweli majuto ni mjukuu.