Bosi Baada ya ku cheat na mke wa mtu amepatwa na janga mwaka wa pili sasa

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,597
2,000
kuna dada mmoja nliwah kutana naye sehemu nikawa na ukaribu naye kama rafiki na baadaye ukaribu ukasogea zaidi kidogo. huyu binti nlikuja kufahamu kuwa ni mke wa mtu hapo baadaye na sikuwahi kiukweli kumfanya lolote sababu mimi kwa sasa nipo busy sana. basi katika maongezi kumbe anafahamiana na jamaa yangu flani ambaye siku hiyo alitukuta wote tunapata lunch.baadaye jamaa akaniuliza kama tayari nimesha nanii kwa yule binti. nikamwambia hapana.ni dada mzuri kwa sura na umbo pia. naye alishaanza kunionesha mapenzi. sababu ya ukaribu wetu na pia mimi hupenda kumsikiliza.

huyu dada ana mwaka wa pili sasa hajafanya tendo la ndoa na mumewe. mumewe inasemekana ilitokea mashine ghafla ikasizi kupiga show. jamaa akanambia kuwa mumewe ni mfanyakazi wizara moja hivi ana nafasi nzuri tu. huko ofisini kwake alimtamani mke wa mtu ambaye ni mfanyakazi wa chini yake.akaanza kumweka mweka kwenye target ili akikaa kwenye target yake afanye naye matusi. mume aliaanza kushtuka mapema kuwa mkewe safari za dodoma kila mara kuna walakini.akafuatilia mpaka akaja kukutana na mhusika yule bosi.inasemekana akamwambia kuwa kama anania ovu na mke wa jamaa aache maana kuna texts anazikuta hazina afya kwa mahusiano yake na mkewe. yule bosi nasikia alimjibu jamaa kuwa kama anaona vipi basi amwachishe kazi mkewe otherwise asimpotezee muda.

yule bosi akaendelea na jitihada zake na akafanikiwa kumla yule dada. kilichotokea toka siku ile amemla yule dada yule bosi mashine yake haikusimama tena.alipoingiza mara moja akamaliza mpaka leo inasemekana hajasimamisha. alihangaika sana hosp na mwishowe kwenda kwa waganga na huko aliambiwa amechomwa mwiba. na akapewa dawa kuwa hiyo dawa anatakiwa akamwekee mkewe kwenye chakula wale wote. na kuanzia hapo asubirie kama mtu atatembea na mkewe ndo atachukua lile tatizo lake lihamie kwake naye ndo atapona. kwa bosi ikawa ni mtihani mwingine kwake.kuwa inabidi mke wake naye atembee nje ili yule atakayetembea naye ndo achukue lile tatizo.

yule dada ni muda sasa analalamika kwangu kuwa ana hamu sana ya kufanya ya kufanya nami matusi, na angetaman tupate wasaa wa kufanya hivyo kaniweka wazi tu kuwa ana miaka 2 hajaguswa na anajisikia hamu sana coz sometime huwa nampigisha stories anafikia hatua anajichua huko home ana come.but now anataka kitu real.nami nimeshaambiwa na jamaa yangu about that issue. na mume anasubiria tu kuwa mtu a cheat na mkewe ili achukue lile tatizo naye afunguliwe. wadau hili limenipa wazo moja kuwa kwa sasa inabidi kukaa mbali kabisa na wake za watu. jamaa wameamua kurudi zama za mawe. yaani kuwatega wake zao ili ninyi vidume mkiingia mpatwe na ya kupatwa. si wanawake si wanaume. tuwe makini katika hili.
 
Rk10

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
1,208
2,000
Hahahaaaa.......huyo Jamaa aliyekwambia huenda naye anamtamani ndo maana akakutisha, jiongeze kaka!!??
Sasa Fanya hivi meambie huyo rafiki yako kuwa umemta uyo Dada na ujapata tatizo lolote utaona anavyohangaika, na baadae anaweza kukueleza ukweli kuwa naye alikuwa anamtamani.
 
GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,597
2,000
kuna mambo magumu sana kujaribu...suppose ni kweli???????????????? hapo huoni kama utakuwa ume.........

Hahahaaaa.......huyo Jamaa aliyekwambia huenda naye anamtamani ndo maana akakutisha, jiongeze kaka!!??
Sasa Fanya hivi meambie huyo rafiki yako kuwa umemta uyo Dada na ujapata tatizo lolote utaona anavyohangaika, na baadae anaweza kukueleza ukweli kuwa naye alikuwa anamtamani.
 
Chipompo

JF-Expert Member
Jan 9, 2017
617
500
Huyo Dada lazima atampata mtu wakumpa pichu - sababu anamsukumo wa kimwili (haja suguka sikunyingi ) sasa huyo atakae chovya hakiyamungu mkono sueta utahusika
 
MKUU WA KAYA

JF-Expert Member
Apr 18, 2012
201
195
kuna dada mmoja nliwah kutana naye sehemu nikawa na ukaribu naye kama rafiki na baadaye ukaribu ukasogea zaidi kidogo. huyu binti nlikuja kufahamu kuwa ni mke wa mtu hapo baadaye na sikuwahi kiukweli kumfanya lolote sababu mimi kwa sasa nipo busy sana. basi katika maongezi kumbe anafahamiana na jamaa yangu flani ambaye siku hiyo alitukuta wote tunapata lunch.baadaye jamaa akaniuliza kama tayari nimesha nanii kwa yule binti. nikamwambia hapana.ni dada mzuri kwa sura na umbo pia. naye alishaanza kunionesha mapenzi. sababu ya ukaribu wetu na pia mimi hupenda kumsikiliza.

huyu dada ana mwaka wa pili sasa hajafanya tendo la ndoa na mumewe. mumewe inasemekana ilitokea mashine ghafla ikasizi kupiga show. jamaa akanambia kuwa mumewe ni mfanyakazi wizara moja hivi ana nafasi nzuri tu. huko ofisini kwake alimtamani mke wa mtu ambaye ni mfanyakazi wa chini yake.akaanza kumweka mweka kwenye target ili akikaa kwenye target yake afanye naye matusi. mume aliaanza kushtuka mapema kuwa mkewe safari za dodoma kila mara kuna walakini.akafuatilia mpaka akaja kukutana na mhusika yule bosi.inasemekana akamwambia kuwa kama anania ovu na mke wa jamaa aache maana kuna texts anazikuta hazina afya kwa mahusiano yake na mkewe. yule bosi nasikia alimjibu jamaa kuwa kama anaona vipi basi amwachishe kazi mkewe otherwise asimpotezee muda.

yule bosi akaendelea na jitihada zake na akafanikiwa kumla yule dada. kilichotokea toka siku ile amemla yule dada yule bosi mashine yake haikusimama tena.alipoingiza mara moja akamaliza mpaka leo inasemekana hajasimamisha. alihangaika sana hosp na mwishowe kwenda kwa waganga na huko aliambiwa amechomwa mwiba. na akapewa dawa kuwa hiyo dawa anatakiwa akamwekee mkewe kwenye chakula wale wote. na kuanzia hapo asubirie kama mtu atatembea na mkewe ndo atachukua lile tatizo lake lihamie kwake naye ndo atapona. kwa bosi ikawa ni mtihani mwingine kwake.kuwa inabidi mke wake naye atembee nje ili yule atakayetembea naye ndo achukue lile tatizo.

yule dada ni muda sasa analalamika kwangu kuwa ana hamu sana ya kufanya ya kufanya nami matusi, na angetaman tupate wasaa wa kufanya hivyo kaniweka wazi tu kuwa ana miaka 2 hajaguswa na anajisikia hamu sana coz sometime huwa nampigisha stories anafikia hatua anajichua huko home ana come.but now anataka kitu real.nami nimeshaambiwa na jamaa yangu about that issue. na mume anasubiria tu kuwa mtu a cheat na mkewe ili achukue lile tatizo naye afunguliwe. wadau hili limenipa wazo moja kuwa kwa sasa inabidi kukaa mbali kabisa na wake za watu. jamaa wameamua kurudi zama za mawe. yaani kuwatega wake zao ili ninyi vidume mkiingia mpatwe na ya kupatwa. si wanawake si wanaume. tuwe makini katika hili.
Itapendeza sana kama ukinipatia nambari yake ya simu...
 
Mugunga

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
641
1,000
Pole GuDume,inawezekana umemgonga na 'biology' yako imelala moja kwa moja sasa unatafuta mtu wa kukuelekeza tiba!
 
GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,597
2,000
ha ha ha Demiss mbinu yako mbona nimeishtukia.. unataka niseme sijagusa ili useme unataka kuja kuhakikisha halafu tukipanga kukutana sehemu ukija ukiona imesimama useme nijaribu kuingiza tuone kama kweli imesimama wima kinyama... nimekushtukia. acha tu aonekane hapigi kazi ila siji kukuthibitishia hata usemeje ..sikubali. kwa sasa naifungia hasa hii issue isije ikaisha
Itakuwa tayar tu umeshagusa saiv wako gudume hafanyi kazi poleee sana hahahhaahahah
 
GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,597
2,000
nmekuelewa..... ngoja nijaribu hilo wazo lako.

Hahahaaaa.......huyo Jamaa aliyekwambia huenda naye anamtamani ndo maana akakutisha, jiongeze kaka!!??
Sasa Fanya hivi meambie huyo rafiki yako kuwa umemta uyo Dada na ujapata tatizo lolote utaona anavyohangaika, na baadae anaweza kukueleza ukweli kuwa naye alikuwa anamtamani.
 
simon baker

JF-Expert Member
Oct 5, 2017
443
1,000
miboya kama nyie nahamu niwakute in real life..yani ni makweni tu na ki.f.ilo tu..mnakuja na hoja zisizo na kichwa wala miguu
 
Muzine

JF-Expert Member
May 4, 2017
32,477
2,000
ha ha ha Demiss mbinu yako mbona nimeishtukia.. unataka niseme sijagusa ili useme unataka kuja kuhakikisha halafu tukipanga kukutana sehemu ukija ukiona imesimama useme nijaribu kuingiza tuone kama kweli imesimama wima kinyama... nimekushtukia. acha tu aonekane hapigi kazi ila siji kukuthibitishia hata usemeje ..sikubali. kwa sasa naifungia hasa hii issue isije ikaisha
Sasa kwann unakimbia kote huko ww tayarhafanyi kazi hapa unavizia pm mganga wa kienyeji aje tu akambie mm nina dawa na hivi hujaoa hahhaa pole sana sjui mke yupi atakusalit kuhamish gonjwa wallah utakosa raha za dunia
 
GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,597
2,000
ha ha ha........ kuna mtu kanielekeza dawa ngoja nikajaribu leo nikirudi home.. au na wewe unaijua uniletee yako?

Sasa kwann unakimbia kote huko ww tayarhafanyi kazi hapa unavizia pm mganga wa kienyeji aje tu akambie mm nina dawa na hivi hujaoa hahhaa pole sana sjui mke yupi atakusalit kuhamish gonjwa wallah utakosa raha za dunia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom