Niko katika Njia panda sijui nichukue kipi kati ya hizi course

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,766
Habari za Jioni hii ndugu WanaJf wenzangu.
Natumaini mko poua kabisa na mko katika mapumziko baada ya kazi za siku nzima.
Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja. Niko katika Njia panda sijui nichukue kipi kati ya hizi course. Kwa ufupi mimi nimwajiriwa kwenye shirika la umma ambaye nimesomea mambo ya Afya ila Toka nimeajiriwa nimejikuta napata mvuto wa kufanya mambo yanayohusiana na IT kiujumla. Kiufupi napenda sana mambo yanayohusiana na Technology hasa hasa Computer na Vitu vyake nikimaanisha Iformational technology.
Sasa nimefikia mamuzi ya kutaka kusoma huku naendelea na kazi yangu. Katika Course ninazotaka kujifunza ni Computer Science au Informational technology. Lakini katika hizi course sijajua utofauti wake kwenye nyanja matumizi (applications). Formality ya usomaji nataka kufanya kupitia njia ambayo haitanifanya nisishindwe kutimiza majukumu yangu kazini. Kati ya Kusoma hizo kozi kwa Njia ya "Online" kwenye vyuo vya Nje au kufanya kwa njia ya "Open University" hapa hapa Bongo. Hivyo sasa najua kwenye ninyi tech gurus mnisaidie Tofauti Kati ya Bsc in Computer Science Vs Informational Technology. Na pia mnapojibu hilo swali mniambie hiyo kozi itafaa nikiisoma kwa njia ipi kati ya hizo nilizotaja ????
NATANGULIZA SHUKRANI
 
Una mshukuru nani kama kuandika kiufasaha hujui...nini mana ya maada,poua.

Halafu unajitapa humu wewe ni msomi tena kozi za afya..wewe ndio wale wanao ngonoka mawodini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajiuliza then unajijibu mwenyewe
Una tatizo gani?

Nime type haraka haraka sikuipitia tena kuangalia kama kuna mahala sijaweka vizuri. Ila ishu yangu kubwa ni kujua tofauti Kati ya Bsc in Computer Science na Bsc in Informational technology ni ipi ?
Lakini pia nikataka kujua pia katika kozi hizi ni Njia au mfumo upi wafaa kuweza kusoma kuzisoma vyema kati ya kusoma kwenye Chuo huria au Mtandaoni ?
 
Una mshukuru nani kama kuandika kiufasaha hujui...nini mana ya maada,poua.

Halafu unajitapa humu wewe ni msomi tena kozi za afya..wewe ndio wale wanao ngonoka mawodini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo watu wengine akili zenu zimekaa kama mattercall. Kujimwambafai tu badala ya kutoa msaada unaohitajika.
 
Nime type haraka haraka sikuipitia tena kuangalia kama kuna mahala sijaweka vizuri. Ila ishu yangu kubwa ni kujua tofauti Kati ya Bsc in Computer Science na Bsc in Informational technology ni ipi ?
Lakini pia nikataka kujua pia katika kozi hizi ni Njia au mfumo upi wafaa kuweza kusoma kuzisoma vyema kati ya kusoma kwenye Chuo huria au Mtandaoni ?
Sina uelewa wa hayo mambo mkuu
 
This things are so confusing, si wewe tu me nilishawahi kuwa njia panda kwa courses zinazohusiana na computer na limits za kila course kwa kozi nyingine,
Ilkuwa software engineering, computer engineering, computer science, computer network and systems, IT, cyber security etc
 
Bora ujiendeleze kwa mambo ya health system management mbona ina uwanda na fursa nyingi, hafu ma IT, sijui computer science wazuri hata hawajasoma hyo course ila utundu wao tu umewafanya wawe Vizuri
 
Ninakushauri tafuta curriculum za vyuo unavyotaka soma kisha angalia course description kwa kila moja wapo namaanisha angalia course description ya computer science na hiyo ya Information Technology ili kupata details za content kwa kila course inaweza kukusaidia
 
Bora ujiendeleze kwa mambo ya health system management mbona ina uwanda na fursa nyingi, hafu ma IT, sijui computer science wazuri hata hawajasoma hyo course ila utundu wao tu umewafanya wawe Vizuri

Samahani Mkuu, unaweza ukafafanua zaidi. Kama nakuelewa lakini kuna mahala sijakuelewa.
 
Ninakushauri tafuta curriculum za vyuo unavyotaka soma kisha angalia course description kwa kila moja wapo namaanisha angalia course description ya computer science na hiyo ya Information Technology ili kupata details za content kwa kila course inaweza kukusaidia

Ahsante Mkuu
 
Back
Top Bottom