Niko JF miaka miwili sasa

Niko JF miaka miwili sasa

uwa nawaza kuunga undugu na wewe kwa anko, ila ndugu yangu wewe Erickb52 umekuwa mjanja mjanja sana hapa mjini mpaka napata kweshenmaki

Heeeeehheee
Leo mambo yetu yanaisha aisee usijali C6 ila nawewe ujiandae kuleta posa
 
Last edited by a moderator:
C6 I am so humbled of your acknowledgement... Hongera sana kutimiza miaka miwili hapa Jf, na nakuombea maisha marefu uweze kutimiza na mingine miingi ijayo. Nakupa a dedication ya wimbo wa Jay Z akiwa na Mr. Hudson wa "Forever Young".

 
Last edited by a moderator:
Hoongeraaaa tu yuuuuuuuuu______________:A S thumbs_up:
 
Back
Top Bottom