Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Haahahaaa C6 hongera sana aisee
Naona miaka inasonga kwa kasi sana.
Nakumbuka ulianza kujiita MTOTOSIX then baada ya kupata charminglady ukabadili jina km sio C6 basi ilianza na jingine kwanza. Lol
Haya kakuacha mbona hubadili jina tena? Au ndo kwa kumkumbuka?
Nawaza Madame B akitaka kutengeneza jina lol litakuwa refu sanaaaaa

Last edited by a moderator: