Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Yupo...kaja mida hii hii
Utamwona tu mda si mrefu
Ana jipya?
Yupo...kaja mida hii hii
Utamwona tu mda si mrefu
WaapiAna jipya?
Usinitishie ng'ombe...angalia..and watch sana where ur going...
he he heee, abiria chunga mzigo, lol!Halafu huyu FP anapenda sana kuwapelekesha wadogo zake...we mwache tu
C6 charminglady anakusalimia,analalamika umem diss.
ebanaeee kumbe jana ndo nimetimiza miaka miwili tangu nijiunge na JF, huamini?
cheki hapa chini
![]()
ndani ya miaka miwili nikaopoa kifaa cha ukweli charminglady ambae nae baada ya kurubuniwa na pesa mbuzi za Erickb52 na umbea wa Bishanga tukaishia kutalikiana japo najua bado anaipenda.
ndani ya miaka miwili nimepata marafiki kibao siwezi wataja woooote ila latest one ni SnowBall, nimepata michongo , madili, sio mbaya JF imeniongezea kapoketi mane kangu (WE UZA TU SURA HAPA WENZIO TUNAVUNA HUMUHUMU)
shoutout kwa wadau wa majukwaa nnayokuwaga muda mwingi (nikianza kuwataja hapa tutakesha)
ila spesho thanks to these beautiful women nimewajulia JF ila utadhani nafahamiana nao miaka,
1. charminglady
2. AshaDii
3. Elizabeth Dominic (japo umeninunia, ila u always in my mind)
4. cacico
5. beibe nasty nawapenda sana
ntakuwa mtovu wa nidhamu nisipowataja washkaji wangu Invisible, Paw, Meezy, Fang na wengine
Last but not least The Creators of this Platform: Maxence Melo na Mike
Nawapenda nyote
LONG LIVE JAMIIFORUMS
Dah! Umefanyaje tena maana naona umeswekwa Lupango!hongera mkuu,umepigwa ban mara ngapi?lol