Niko JF miaka miwili sasa

Niko JF miaka miwili sasa

my dia FP inaonyesha possibility inayohitaji bidii ya ziada
umeona eeehhhh!
ukiona maex wanaambiana hakuhitaji kutongozana............ nenda extra mile au ujilie pozi kuuuubwaaaaa kama mimi dia wako
 
Ambao hautujui tukuambie .welcome.

Kwani na wewe ni "Top layer cream?"
wewe si ni kama mie tu! "ukoko!"
Nway kiongozi C6 , congra! Hakikisha unaezeekea Jeiefu.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana sana.

Mungu akujalie miaka mingine miiingi sana JF tufaidi maujanja yako.
 
hongera C6 na mm ngoja nianze kufatilia data zangu za kujoin JF
 
Last edited by a moderator:
umeona eeehhhh!
ukiona maex wanaambiana hakuhitaji kutongozana............ nenda extra mile au ujilie pozi kuuuubwaaaaa kama mimi dia wako

nahisi mama mwenye nyumba arudi kidogo kidogo.. Hapa ni kukaa mbali usawa mbovu
 
[TABLE="width: 500, align: left"]
[TR]
[TD]Haya mkuu, but i was expecting a gold or something on your username. Next time perhaps
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mkuu,

Two years sio mchezo. Hongera za dhati kabisa zikubambe wherever you are.

Keep it up!
 
Back
Top Bottom