Niko huku msitu wa magwepande

Niko huku msitu wa magwepande

unawinda ndege na hiyo plaiz mkononi???hiyo si ndo mnang'olea watu meno hiyo??? na hiyo radio call inawinda???afu ulivyo vaa mbona unafanana na huyu nani huyu mwenye panki.....msangee
 
hujaona kucha na meno huko ya watu? mmhhh huo msitu utakuwa una damu nyingi sana za watu! chama cha mabwepande kitalipa wallah!
 
nimeipenda hii....Chama Cha Mabwepande.....
 
Kule Kenya kuna Magwepande yao sijui inaitwa Ngone Forest..
 
hujaona kucha na meno huko ya watu? mmhhh huo msitu utakuwa una damu nyingi sana za watu! chama cha mabwepande kitalipa wallah!
Hahahaha! Mama wa ubatizo uko juu walah lol.. Chama Cha Mabwepande = CCM ..

Aisee raha kweli, utanidai like 1 kwa hii useful post, sahzi napost via mchina manake niko kwenye ofisi za watu!
 
hujaona kucha na meno huko ya watu? mmhhh huo msitu utakuwa una damu nyingi sana za watu! chama cha mabwepande kitalipa wallah!

inabidi siku watu tukaangalie huko tunaweza kuta ndugu zetu waliopotea walizikwaga huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom