Nikiwa Rais kutakua na mradi wa kupunguza half-life ya nuclear waste

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
Moja ya mambo yanayofanya inakuwa ni ngumu sana kutumia nuclear energy ni namna ya kuhandle waste zake, nikiwa Rais ntahakikisha tunakuja na solution yake kabla ya kuanza mradi wa kutumia nuclear energy
Mfano wa nuclear waste na half life
  • Plutonium-239
  • Caesium-137
  • Strontium-90

Usisahau kushungulikia elimu, afya, maji, miundombinu, kilimo, uvuvi, ajira, etc. Pesa zote usimalize kwenye mambo ya anga na yanayohusiana na hayo.
 
Haya mambo yapo juu ya uwezo wa watanzania na waafrika wengi
Mwafrika anawaza apate fedha ajenge nyumba, anunue gari, asomeshe watoto wake shule ili hali mda huo huo anaconda elimu yenyewe
Sasa hizi mambo zako hakuna mtu atakayekuelewa
 
Huyu jamaa, hata kama atofanikiwa ila kuyajua tu mambo anayoyasema humu.

Ana kitu kikubwa kichwani...wala asibezwe hata kidg.
 
Back
Top Bottom