Nikiwa ninatokea Kariakoo/Ubalozi wa Marekani nishuke kituo gani?

Nimeambiwa niende Mikocheni kwa Rizwan (Senga Road) near St Florence School. Nikiwa ninatokea kariakoo/ubalozi wa Marekani nishukie kituo gani? Mimi nimeishi saaana Iringa na Tabora hivyo ni mgeni/mshamba wa jiji. Wenyeji wa Dar ninaomba msaada wenu.
Panda la kawe shukia Kwa Nyerere ndo ushafika
 
Nimeambiwa niende Mikocheni kwa Rizwan (Senga Road) near St Florence School. Nikiwa ninatokea kariakoo/ubalozi wa Marekani nishukie kituo gani? Mimi nimeishi saaana Iringa na Tabora hivyo ni mgeni/mshamba wa jiji. Wenyeji wa Dar ninaomba msaada wenu.
Unatokea Kariakoo/ ubalozi wa Marekani! Mbona havishikani hata kwa ulimbo. Ukitokea Cheyo/ Tukutuku ukamuone Mwinamila mtaa wa Rehani ushukie kituo gani?
Naona swali lako umelitafsiri toka Kinyamwezi kwenda Kiswahili.
 
Kabisa mkuu mkalimani amehusika hapa 😂 😂😂

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Alafu ninyi si ndio mnapigaga kelele magufuli aongezewe mitano tena na kwamba ccm ni babkubwa tukiwaambia nyie hamuijui tanzania mnakuwa wakali sijui nini na nini, sasa umekuja dar unaanza kupaogopa ? why ? sasa unakuja mitaa yetu sijui nikulie denge njiani mana kuku mgeni hakosi kamba mguuni, yan mtu ukilie iringa na Tabora uwe unajua jinsi wahuni wanavyoitapanya nchi daslama ? siku nyingine mtulizage wenge, yan mikochen hupajui khaaa
 
Asante kaka. Kwa miguu hapaendeki kwa maana pesa ya bodaboda sina. Nipo choka mbaya.
Vijana wa siku hizi mmekuwaje lakini? Haki ya nani Jiwe alitaka kuwaharibu! Mmeshindwa kabisa hata kumsaidia hata elfu 10 huyu binti ili apate hela ya bodaboda hapo mjini? Ila na wewe binti unakujaje mjini bila kujipanga? Naogopa watu wenye nia ovu wasije kujifanya Wasamaria wema wakakufanyia kitu kibaya! Hebu nitafute PM, nikurushie hata ya kunywa maji!
 
Nimeambiwa niende Mikocheni kwa Rizwan (Senga Road) near St Florence School. Nikiwa ninatokea kariakoo/ubalozi wa Marekani nishukie kituo gani? Mimi nimeishi saaana Iringa na Tabora hivyo ni mgeni/mshamba wa jiji. Wenyeji wa Dar ninaomba msaada wenu.
Muulize mwenyeji wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom