Nikiwa nakula mzigo, nahema sana

Nikiwa nakula mzigo, nahema sana

Umri

Mazoezi kidogo walau kuruka kama ama push up kadhaa daily

Kacheki blood presha....

Nb-- usiikamie sana, usishindane na ulipotoka
 
yani nikiwa faragha na jinsia ya kike tunafanya mambo ya kikubwa

mimi hapo naona kama hujafunga bali umeacha wazi kwamba una jinsia ingine au!!! jifunze kuandika vizuri kama hili ulikosea au acha iwe ilivyo if umemaanisha. tupo wasomaji tunaoelewa maandishi... sio kusoma tu...
 
Back
Top Bottom