The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,491
- 119,415
Siku moja moja uwe unamwambia Bibi mkumbushie enzi zenu,Kwanini huipendi Mkuu?
Enzi za Ujana wangu Mwaka 47, nilikuwa napenda kuitumia kwa kuwa nilikuwa napenda ile eye contact na romance wakati tukipeana na Bibi yenu
NIlikuwa napenda kuona anavyozungusha kiuno, si unajua miaka ya zamani kulikuwa na ule wimbo wa bingili bingili mbaka Chini...
Hiyo ni style pendwa ya kujua kama ni gogo ama yaliyomo yamo 🤗
Ila Panadol iwe karibu.
😀😀