Nikiwa nakula mzigo, nahema sana

Nikiwa nakula mzigo, nahema sana

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,460
Reaction score
4,167
Awali ya yote, ningenda kumpongeza Dr Samia Suluhu kwa kuendesha Kampeni za kistaarabu. Mama wa watu hatukani mtu wala hatwezi utu wa mtu.

Tuje kwenye point ndugu zangu watanzania wenzangu, siku za hivi karibuni nimepatwa na changamoto flani, yani nikiwa faragha na jinsia ya kike tunafanya mambo ya kikubwa, basi kuna changamoto huwa naipata, changamoto yenyewe ni hii, wakati nakula mzigo yani napampu mashine yangu kwenye maku, basi huwa natokewa na hali ya kuhema sana.

Sasa hii hali inanitisha kidogo,je niko normal au ntakua na tatizo gani?
 
Awali ya yote,ningenda kumpongeza Dr Samia Suluhu kwa kuendesha Kampeni za kistaarabu...Mama wa watu hatukani mtu wala hatwezi utu wa mtu.
Tuje kwenye point....ndugu zangu watanzania wenzangu,siku za hivi karibuni nimepatwa na changamoto flani,yani nikiwa faragha na jinsia ya kike tunafanya mambo ya kikubwa,basi kuna changamoto huwa naipata,changamoto yenyewe ni hii,wakati nakula mzigo yani napampu mashine yangu kwenye maku,basi huwa natokewa na hali ya kuhema sana.
Sasa hii hali inanitisha kidogo,je niko normal au ntakua na tatizo gani?
 
Kama una tumbo ka yule mwekezaji Chavayo sijui hiyo kawaida tu,
Kila kipaji kinaenda mahali pake.
We tafuta hela honga, acha vijana mitaani wamle mkeo.
Utakufa ukikomaza kichwa na tumbo lako hilo ka gunia la mpunga toka mbarali kwa mwashambwa.
 
Awali ya yote,ningenda kumpongeza Dr Samia Suluhu kwa kuendesha Kampeni za kistaarabu...Mama wa watu hatukani mtu wala hatwezi utu wa mtu.
Tuje kwenye point....ndugu zangu watanzania wenzangu,siku za hivi karibuni nimepatwa na changamoto flani,yani nikiwa faragha na jinsia ya kike tunafanya mambo ya kikubwa,basi kuna changamoto huwa naipata,changamoto yenyewe ni hii,wakati nakula mzigo yani napampu mashine yangu kwenye maku,basi huwa natokewa na hali ya kuhema sana.
Sasa hii hali inanitisha kidogo,je niko normal au ntakua na tatizo gani?
Utakufa vibaya wewe
 
Back
Top Bottom