Nikiwa Mod Leo

Hivi ukawa Mod leo mtu wa kwanza Kumpa Burn ni nani?

Mimi naanza na ....foxy

Niliiandika kwenye thread nyingine. Naamini the the best way kuiweka JF kwenye standard ya juu kabisa ni kila member kuwa Mod. Sina maana ya kupewa cheo cha U Mod. Bali kukemea wale wanaoharibu JF na kuwapa changamoto wageni wote. JF ni yetu wote. Ndio sisi tutakaoijenga au kuibomoa. Sio wale Mods wenye vyeo pekee. Tukiwaachia wao, kazi itawashinda. Ni ngumu sana ku moderate forum kama hii bila kupata usaidizi toka kwa members wenyewe. Kwa hiyo ukiona mtu ana abuse thread, badala ya kusepa, bofya kifute chekundu cha "Report Abuse". By doing that tayari wewe ni Mod.
 
Burn? ma mod huwa hawatoi "burn" ndio maana huna huo u moderator kwa sababu hata hujui unachokiandika! Unanchekesha!

Au ulimaanisha ban? maana hiyo uliyoandika wewe tena kwa uhakika kabisa huwezi hata kuvunga kuwa ilikuwa ni spelling mistake. Pole mwana, kwanza ka-polish kiingereza chako halafu uuwaze huo u mod. Meanwhile, FF anadunda!
dada yangu Faiza huu ndio 'ukariakoo' unaokugombanisha na watu hapa Jey Efu,swali 1 majibu 10 hahaha! ramadhani njema tuna mpango JF kumtunuku mmeo shahada kwa kuweza kuishi nawe 30yrs huyo ni MWANAMUME.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ningem BAN Afrodenzi, The Finest,Kaizer, Preta, Wiselady, Kimey, Asprin, Bigirita, GY, Bacha, Mj1, Zion Daugher, Pearl, Nyamayao, Susy, Bishanga, BE, Maty, Elia, Kokudo, Husininyo, Lizzy, Mamndenyi, Teamo, Paka Jimmy, Mzee wa Rula, goosh list ndefu sana nitarudi

Nimefurahi kuona list ndefu kama hiyo FF hayumo. Lol.
 
dada yangu Faiza huu ndio 'ukariakoo' unaokugombanisha na watu hapa Jey Efu,swali 1 majibu 10 hahaha! ramadhani njema tuna mpango JF kumtunuku mmeo shahada kwa kuweza kuishi nawe 30yrs huyo ni MWANAMUME.

Sasa wewe ji thread zima kalianzisha kwa ajili yangu tu, halafu nisilijibu? unanchekesha! au hukuisoma post #1?
 
Sasa wewe ji thread zima kalianzisha kwa ajili yangu tu, halafu nisilijibu? unanchekesha! au hukuisoma post #1?
Hapana,kauliza swali ukiwa mod mtu wa kwanza kumpa ban atakuwa nani ? kataja jina lako labda hapendi msimamo wako au aina na namna unavyoziwakilisha,hakufahamu wala humfahamu (nothing personal) sasa nawe ungejibu swali kwanza kama Faiza ungempa ban nani kwanza ungekuwa mod halafu msahishe ban-burn.
Hilo swala la mimi 'kuchekesha' ndio tunarudi kule kuleeee mtaa wa Mafia lol!
 
mambo kisura wa jey Efu tumekumiss balaa,mzima lakini ? ukirudi sahau tena kuniweka kwenye listi hahaha!

Ha ha ha wewe bana hebu soma PM yako ujue nini kimenisibu. nishakuongeza kwenye list hakiyakaka vile sijui kwanini nilikusahau aisee mpaka roho imeniuma ujue.
 
<br />
<br />
Yap..
Welcome back
Mama mwenye nyumba karudi..
Halafu naona na hii wataka kuipeleka 4879
Teh teh teh bado sijaona record iliyovunja
Hata kufikia hiyo ..lohhh
Goooooood Old days haaaaaaa

Kwa kweli tuliolewa
Na kuachika sku ya pili..
kazi kweli kweli..

Mama ndani ya nyumba usicheze mbali unga robo.

Yaani wewe ndo wa kwanza kukupa BAN
 
Hapana,kauliza swali ukiwa mod mtu wa kwanza kumpa ban atakuwa nani ? kataja jina lako labda hapendi msimamo wako au aina na namna unavyoziwakilisha,hakufahamu wala humfahamu (nothing personal) sasa nawe ungejibu swali kwanza kama Faiza ungempa ban nani kwanza ungekuwa mod halafu msahishe ban-burn.
Hilo swala la mimi 'kuchekesha' ndio tunarudi kule kuleeee mtaa wa Mafia lol!

Mie ningejipa ban mwenyewe.
 
Back
Top Bottom