Hapana hakuna haja ya ban wacha watu wapambane sisi tunanzo anti foxy wala hasumbui kabisa, ukimpiga dozi moja baasi.Hivi ukawa Mod leo mtu wa kwanza Kumpa Burn ni nani?
Mimi naanza na ....foxy
Hapana hakuna haja ya ban wacha watu wapambane sisi tunanzo anti foxy wala hasumbui kabisa, ukimpiga dozi moja baasi.
Hivi ukawa Mod leo mtu wa kwanza Kumpa Burn ni nani?
Mimi naanza na ....foxy
English ni wito siyo lelemamavivian BURN ama BAN?
Kwa kosa gani??, sidhani kama nimeshawahi kuona huyu dada amevunja sheria (unless kutetea point zako unazoziamini ni kosa)... Tena mimi ninapenda watu wenye mitizamo tofauti kuliko wale wanaounga hoja mkono...., kwahiyo cha maana ni ku-tackle hoja zao na kuonyesha kwamba wanaongea vapourHivi ukawa Mod leo mtu wa kwanza Kumpa Burn ni nani?
Mimi naanza na ....foxy
pumba pumba