Nikiwa Mod Leo

Nikiwa Mod Leo

Ila vivi tuache utani hii picha yako? mh.. utata mtupu! Sijui nilikuona wapi vile.. mh! hapa lazima maneno yapandane...
 
Sijui nilisahauje. Yaani wewe ni No. Moja kwenye list ya Burn. Natamani hata Nichangishe pesa kutoka kwa members huku kuwezesha mawasiliano na Mods upewe burn hata sasa hivi.

hahahaha.... ban kwa kipi kibaya?
 
Tayari maombi yako ya ban nimeyapokea, anza kupiga ban wale maadui zako.
 
dah kazi kweli kweli...neno la kingereza likitumika sivyo linapoteza kabisa ujumbe na kuleta ujumbe mwingine ambao ndivyo sivyo. Tunashukuru mkuu kwa kuona hilo na kuliweka bayana..wengine tulikuwa kimyaa maana tuliona haelewi tofauti ya maneno hayo. japo kwake inawezekana aliona maana nanyoijua yeye ndiyo hiyo.
Bila shaka unatembea na viberiti ama a small bunsen burner wa ajili ya burning! You can only be banned from crazy MODS
 
..naanza kumpa Burn ..Mchungaji wng Masanilo
sababu kuacha KONDOO. wake tunazurura hovyo..mpk tumfuate huku..
 
Hivi ukawa Mod leo mtu wa kwanza Kumpa Burn ni nani?

Mimi naanza na ....foxy

Faiza Foxy Banned!!!!
user-offline.png
FaizaFoxy


31st July 2011 04:27 PM

#20

Banned
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 9th May 2011
Posts : 2,969
Rep Power : 0
 
Vivian leo umelala nje nini mbona una hasira bana.
 
inabidi mods walete jina lingine maana ban imekuwa burn
anyways,Vivi u luk gud.
 
Back
Top Bottom