Sitalala kitandani kamwe unless nimelazwa sijitambui

Sitalala kitandani kamwe unless nimelazwa sijitambui

Mopak

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2024
Posts
2,644
Reaction score
5,728
Mnasema maumivi ya kuachwa na mpenzi, kufiwa na umpendae, ya kukatwa cjui wapi pale bila ganzi, wanawake kutobolewa bikra nk haki mnakosea.

Hapa nilipo kitanda kwangu ndio adui wa kwanza tena mkubwa zaid ya vyote.
Ndugu leo mda sio mrefu nimetoka pilikapilika nkaoga nikasema ngoja nijiweke kidogo kitandan nipumzike.

Niliingia tu kitandan nikiwa na taulo kiunoni nkalala na kweli usingiz ukaja nikala yaan nikalala. Naamshwa naamshwa na dada kuwa kuna mgeni nikiwa na mawenge ya usingizi. Duh! Ndugu zangu nimejigonga kitandani haka kakidole kadogo ka mguuni. Hayo maumivu yasikie tu.

Na kibaya zaid taulo likaanguka dada akiwa mlangoni ile anakimbia wife ndo huyu hapa vikumbo na dada wa kazi. Wife ameingia chumbani anakuta ndo najifunga taulo maumivu kama yote. Kitanda sikitaki tena kikae tu seblen maana maumivu niliyonayo ni siri yangu
 
.
 

Attachments

  • 95B0664C-FB68-46DD-B62F-BF8C56FEBA8C.jpeg
    95B0664C-FB68-46DD-B62F-BF8C56FEBA8C.jpeg
    39.4 KB · Views: 16
Pole sana mkuu.
Kuwa makini next time.
asante mkuu hapa watu wanafikiri chai lakini ni siri yangu tu. Kakidole kenyewe innocent lakini kalivyonipa maumivu afu wife nae anakuja akicheka nimerudisha kitanda seblen na hata mlango nao siku ntajigonga ntaung'oa ibaki pazia tu
 
Ohoo. Mkuu imeandikwa mkono wako wa kuume ukikukosesha ukate ukautupe mbali nawe, kwa maana yafaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanamu.
 
kama hiyo ndo chai kwako my friend kimbia hos mapema yaan nyeusi kama mkaa au imeungua bro
Bro hizo ni pictures za google mimi sio mnywaji wa chai za majani ya aina hiyo 😎😂😂😂
 
Ohoo. Mkuu imeandikwa mkono wako wa kuume ukikukosesha ukate ukautupe mbali nawe, kwa maana yafaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanamu.
nikate kidole nikitupe au unamaanisha ni ndugu yangu maana bibilia since 2001 sijahi itaka mbele yangu. Mim nimeamua kutoa kitanda bedroom kwenda seblen ili nisijigonge tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom