loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,263
- 5,171
Sidhani kuna mtu mwenye akili na ufahamu atathubutu kuishabikia timu ya taifa mpira Argentina. Na kama watakuwepo wanahitaji msaada na walaaniwe.
Wanavyomtukana na kumdhihaki Lamine Yamal wetu haivumiliki.
Na leo Mungu atamuinua kijana wetu Lamine Yamal na ataibuka mchezaji bora na kuisadia Uhispania kutwaa kombe la dunia.
Na istoshe baadaye mwisho wa mwakaa atatwaa tuzo ya Ballon D'Or.
Hiyo bado haitoshi kinda huyo ataipaisha Barcelona na kutwaa Uefa champions league mwaka kesho may 2027.
Lamine Yamal afumbe macho na masikio kutoka kwa mabaguzi. Aweke umakini katika mechi ya leo Fainali
Kutoka chini kabisa sakafuni mwa moyo wangu naweka wazi hata MODS ni mashahidi namchukia Messi na Argentina hata huyo Ronaldo sijawahi mpenda.
God bless Lamine Yamal.