Nikiwa kwenye gear namba 5 au 4 nitaweza kusimama?

kazi za brek ni kusimamisha gari no matter what, labda kama gari limepaaa!
 
Naomba mnifahamishe nikiwa kwenye gear namba 5 au 4 alafu natakiwa nisimame umbali ambao sitaweza kupangua gear hadi kufika namba moja je nitafanyaje?

Msaada wenu tafadhali
Ni mazingira yapi ya kutakiwa kusimama unaongelea hapa?
 
Gari yako ikitoka gear namba 5 ma mwendo usiokuwa chini ya 50kph ukaruka na kuingia 1 nayo ikakubali kuingia, hiyo gari ina matatizo yake....
 
Maana yangu je hakuna madhara yeyote ya kutoka gia kubwa na kurudi moja kwa moja kwenye gia namba moja

Unafahamu kuendesha gari kweli?

Kama upo mamba tano, shuka weka mamba 4, 3, 2, then 1. Gari itakuwa inapunguza mwendo.

Huwezi kutoka 5 ukarukia 3 au 3 ukaenda 1.

Pia huwezi toka moja ukaenda 3.

Halafu udereva raha yake ufundishwe na anayejua na uwepo ndani ya gari na ufanye anavyokuelekeza.

Gari ni rahisi sana kuliko pikipiki na baiskeli
 
Upo vizuri maelekezo yamenyooka
 
Unajua kuendesha gari?
Maswali gani haya..duh
 
Kiongozi umechemka sanaa, mleta uzi hajauliza swali la kutaka majibu haya
 
Yani
Unajua kuendesha gari?
Maswali gani haya..duh

Nimemaliza kujifunza ndugu
 
Labda mtu kakushtukiza nishushe hapa na ulikuwa kwenye namba tano
Hiyo sio sababu ya kufunga brakes ghafla kwani gari lina gia ya kurudi nyuma, pia kwenye barabara kuna u-turn, na njia panda ambapo waweza kugeuza gari. Labda kama kuna hatari ya kufumaniwa!
 
Naomba mnifahamishe nikiwa kwenye gear namba 5 au 4 alafu natakiwa nisimame umbali ambao sitaweza kupangua gear hadi kufika namba moja je nitafanyaje?

Msaada wenu tafadhali
Fanya vitendo hivi: (unaweza jikaririsha kwa kusema "break , clutch + break" )

Yaani unaaply break kupunguza mwendo kwanza , halafu unaaply clutch na huku unakanyaga break ya kusimama.

Baada ya kusimama weka gari neutral, mtu wako akishuka unaanza uondokaji mpya ambao naamini unaujua.
 
Ni kweli kabisa, ila umeniacha hoi hapo kwenye za cement! Kwahiyo wabeba cement wajue wanaendesha mikweche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…