Nikivaa hivi ni sawa?

Vaa nguo zenye heshima, unavaa mitambala halafu unaenda kukutana na watu waliokuzidi umri, poor you.....
How-to-Dress-in-Morocco-Morocc-Dress-Code-The-Hostel-Girl-11-1024x682.jpg
 
Hata watu wazima wa saivi wanatuelewa vijana tuko zama tofauti na zao ila tatizo ni sisi vijana tunawaogopa wao wakati wao tyari wanatujua kabisa kua mioyo yetu inataka nini.

Vaaa hivyo hivyo usiangalie kulia wala kushoto..wazazi wenyewe wanatuelewa ndio zama zetu hizi so hata usiogope kufkiriwa vinginevyo..we vaa kiheshima usipendeze alafu aje mwenzako avae umini wa maana kitumbo wazi then utaona kama hajasifiwa yeye kapendeza..

Vazi la heshima kbsa hilo alafu unawaza..put it on NENDA
 
Heheh na kweli watu wamevaa hatari hujakosea

Nilifanya maamuzi ya kuvaa hivyo hivyo
 
Nina kama masaa mawili ya kufanya maamuzi
View attachment 1184235

Naongelea haswa hako kauwazi hapo kati,
Mwanaume ukiona mwanamke ameachia kitumbo wazi kidogo unaonaje kama ni mkeo au mpenzi wako?
Ni kiparty with some of my colleagues ambao ni watu wazima kidogo ndio maana nipo sensitive.
Mimi sio mtu ninaejali haswa watu watasema nini kunihusu lakini katika hili nipo dilema

Update
Asanteni nimevaa hivyo hivyo
View attachment 1184439
Mguu wako kwenye avatar na hiyo picha yatosha kwenda kulipa mahari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom