Nikitembea na mwanamke mwendo unabadilika...

Nikitembea na mwanamke mwendo unabadilika...

Kuonesha msisitizo ukiwa na dem ruka kichura chura kabisa hapo utakua umemaliza.Imagine unaingia mlimani city na mwendo wa chura.
 
Huko tena ndio usiombee. Ukinikuta ninavyoshungulika hutaamini ni mimi. Kibaunsa nafanya lakini inategemea na kifaa nilichonacho. Kuna siku moja nilikua namgegeda demu nikajaribu kumbeba nilianguka kidogo nivunjike kiuno. Basi nikajifanya et , "Ah hizi tiles zinateleza" kumbe hamna kitu.

kwi kwi kwi kwi
 
Yaani najikuta tu natembea kama baunsa yaani kuna kamwendo flani hivi ambako sio kangu, maringo sio maringo, kibabe sio kibabe. especially kama tunaingia sehemu yenye watu wengi alafu kifaa kiwe mpingo. Nakumbuka kuna msichana mmoja alishanishushua akaniambia "kwani ukitembea normal kuna shida gani" maana na huu wembamba alafu natembea kibabe eti. Kwa kweli nimejaribu kuwa normal nimeshindwa. labda nikiowa.

Unatumia kitu inaitwa bangi?
 
Mwanamke ana nguvu sana, unaweza fanya hata tukio la ajabu sana na hata ukiambiwa urudie kufanya hutothubutu, hapo ndipo nguvu ya mwanamke inapoonekana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom