Hiyo ndo safi na unaongeza kidogo na uso wa mbuzi a.k.a sura ya fata-mambo-yako ....ili raia yeyote asithubutu kujipendekeza!Yaani najikuta tu natembea kama baunsa yaani kuna kamwendo flani hivi ambako sio kangu, maringo sio maringo, kibabe sio kibabe. especially kama tunaingia sehemu yenye watu wengi alafu kifaa kiwe mpingo. Nakumbuka kuna msichana mmoja alishanishushua akaniambia "kwani ukitembea normal kuna shida gani" maana na huu wembamba alafu natembea kibabe eti. Kwa kweli nimejaribu kuwa normal nimeshindwa. labda nikiowa.
Hehehehe. Ni kweli lakini. na navyoogopa ngumi.
Niliona nikaishia kukushangaa tu na hiyo body ya siafu....Hahaha, hivi siku ile hukunotice hii kitu..
Yaani najikuta tu natembea kama baunsa yaani kuna kamwendo flani hivi ambako sio kangu, maringo sio maringo, kibabe sio kibabe. especially kama tunaingia sehemu yenye watu wengi alafu kifaa kiwe mpingo. Nakumbuka kuna msichana mmoja alishanishushua akaniambia "kwani ukitembea normal kuna shida gani" maana na huu wembamba alafu natembea kibabe eti. Kwa kweli nimejaribu kuwa normal nimeshindwa. labda nikiowa.
Picha tafadhali..
napita tu ........haa haa haa unajiona kidume cha mbegu....