benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,069
Yaani najikuta tu natembea kama baunsa yaani kuna kamwendo flani hivi ambako sio kangu, maringo sio maringo, kibabe sio kibabe. especially kama tunaingia sehemu yenye watu wengi alafu kifaa kiwe mpingo. Nakumbuka kuna msichana mmoja alishanishushua akaniambia "kwani ukitembea normal kuna shida gani" maana na huu wembamba alafu natembea kibabe eti. Kwa kweli nimejaribu kuwa normal nimeshindwa. labda nikiowa.